Tayari umehama muktadha wa majadiliano toka mechi ya jana umeingia kwenye Past groly ya United...Watu hawaishi Past Mkuu tunaishi leo...Unaongelea habari za Majeruhi kama Sababu? Hoja Zako dhaifu sana..
Arsenal Pia tuliwakosa, Koschiely,Ozil,Xhaka,Wellbeck,
Monreal,Cech,Mavoparos.
Upo kwenye Denial Mkuu sishangai still unaamini upo level za Top clubs this season...Last interview Mourinho aliulizwa kama atamaliza juu ya Everton..huko ndipo level zenu zilipo sasa.Mnapimwa na Everton now days not likes of Arsenal,Liver,Chelsea..
Huu ni mwaka wa 6 huna EPL ni mwaka wa 11 huna CL Halafu eti umezoea kuchukua..Inawezekana umeona Mara moja tu United akichukua CL..
Nimeongelea historia kama kukupa mfano wa kukuelekeza ninapoongelea current form ninamaanisha nini. Anyway, pia kuongelea historia ya mafanikio ni jambo la kawaida, je unaweza kuikataa hadhi ya Juventus, AC Milan, Inter Milan sababu kwa sasa hawafanyi vizuri sana (kwenye UCL na domestic competition)? Jibu ni NOPE.
Mkuu hata jana ni past, lakini leo upo bize kuongelea yaliyotokea jana... Huwezi kutenganisha mpira na past/historia, wake up broo. LAKINI SITASHANGAA WEWE KUKATAA KUZUNGUMZIA HISTORIA YA MAFANIKIO SABABU, YOU HAVE NONE, I repeat Arsena8 have no history to be proud of, that is why u are hiding on the present which is not even great for u. SASA UTAONGELEA NINI IF YOU DONT HAVE IMPORTANT HISTORY?
Man Utd amechukua kombe la UCL miaka 10 iliyopita aonekana amepata mafanikio zamani, kwamba ni wa level za chini, hiyo hoja nyepesi imenifanya niwaze je Bayern mara ya mwisho kuchukua hilo kombe ni lini, vipi yeye ni timu kubwa? Vipi kuhusu Juve? Wait a minute, Arsenal8 mara mwisho kuchukua ilikuwa lini? On their dream may be.
Hoja ya majeruhi imejikita kwenye idadi ya majeruhi lakini wanaocheza katika nafasi hiyo hiyo moja. Unazuga hujaelewa ila ulielewa, anyway ngoja nikueleweshe. United walikuwa na feet defenders 3, yaani Rojo (ambaye hii jana ilikuwa ni match yake ya kwanza kwa msimu huu), Mateo Darmian na Dalot, wote hawa ni second choices may be third choices kwa United. Mabeki wote waliobaki walikuwa majeruhi na wale waliocheza kama, Smalling, Bailly na Valencia (aliyekuwa benchi) walijitolea kucheza through pain, sijui kama unanielewa hapa.
Kusema Arsenal ni level za Liver, Man City, Chelsea na kwamba ipo mbele ya Man Utd is funny, ucheshi ambao kwa miaka mingi Arsenal wamekuwa wakijichekesha. Ki ukweli Arsenal ni timu ambayo nimekuwa nikiionea huruma miaka nenda rudi, can u sympathise with a rival, no we only sympathize with little ones,week ones,poor ones,victim ones..... And that's who you are brother.
Mimi nimeona mara 2 United akichukua UCL, na hata ingekuwa mara 1 sio mbaya. Can you remind me the last time you saw Arsenal winning it? I bet it was in your dream. I feel for u mkuu, I real do.