Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hii game tukishinda ni mungu katupendelea tu hapa sioni hata dalili ya draw
 
Fear factor ya Old Trafford haipo tena nategemea Arsenal kutunyanyasa sana Leo.

Na Leo hii mechi siangalii sipendi aibu za kujitakia Mimi.

Acha uoga mkuu watu London wanatoa pound kibao kucheki game wewe unambwela ukiwa Bongo
 
Mkuu sio kirahisi hivyo
Mkuu naelewa lakini kwa mwenendo wa timu yetu na hasa kipindi hiki tuna majeruhi ya beki zetu tunazozitegemea matumaini ni madogo mno mpira wa sasa haubebwi na historia mkuu yule tulokuwa tunamuonea mzee wenga hayupo tena
 
Mkuu naelewa lakini kwa mwenendo wa timu yetu na hasa kipindi hiki tuna majeruhi ya beki zetu tunazozitegemea matumaini ni madogo mno mpira wa sasa haubebwi na historia mkuu yule tulokuwa tunamuonea mzee wenga hayupo tena
Hamna mkuu timu yetu sio ndogo mi siwezi kumuoga arsenal ndio kushinda anaweza maana nayo ni timu nzur ila sio kiivo kuanza kuwaogopa wakishinda ni sehemu ya mchezo ila si kwamba wana quality nzur ya wachezaj kutushinda ni vile tu kocha atakuja na game plan nzur.
 
Kikosi huwa kinatupa picha ya mchezo utakavyokuwa upande wetu. Mi nasubiri kuona kikosi cha leo mkuu
 
Kupenda ni kuchagua usilazimishe mtu ashibikie team za kipuuzi ulizokarilishwa
 
City haiwezi kuwa level ya United, hivi ule msimu Mtibwa ilivyochukua ubingwa ilikuwa level ya Yanga, au Simba? Au kipindi kile Mbeya City ipo vizuri ilikuwa level ya Yanga au Simba. Man City ni kama Mbeya City tu
City huo kwa sasa ni muendelezo mkuu sio kama team zako izo za mtaani unazozitaja
 
Safi Sana ndugu mchambuzi ambaye miaka michache nyuma hukujua hata Kama kuna kitu kinaitwa Jamii forums achilia mbali miaka ya Jambo forum wakati ambao hukujua hata maana ya internet
Tell her boss
 
Umelipwa kiasi gani na kuanza kwako zamani kushabikia mpira
 
Mkuu kukosa mapato unaona ndio itakuwa bora?
Yah, Kwa MUFC ni bora ikose mapato.

Unapokuwa una Mkurugenzi ambae kwake yeye perfomance uwanjani haina uzito muhimu yeye apate hela tu, basi ni bora akose hela ndipo atakopoona umuhimu wa perfomance uwanjan.

Perfomance should equal Revenues, this is the right way!

Na ndio maana Adidas akawaambia kuwa wakiingia UCL basi zawadi yao ni hela nene kwenye dili ila wakiwa hawamo UEFA basi watakula Njugu.... hivi ndo soka inavotakiwa iongozwe.

Au wewe mkuu unaona sawa wa 18 kwenye ligi awe anapewa ubignwa wa ligi na hela sawa na alotokea wa kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…