Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe utamuweza Lyon ikiwa city anakupapasa anavyotaka na kukuchomekea
Ukimwambia City ni kiboko yake anasema alishawai kuifunga city zamani. Muulize kwasasa je? Atakuambia tusimpangie tuongelee ya zamani pia. Kwahiyo ya zamani ndio yanampa kombe msimu huu. Wana timu nzuri kuliko chelsea kuliko hata liver na arsenal. Sijui shida ni nn.
 
Ni kweli kabisa maana wewe unaeshabikia hiyo yako umezaliwa mjini na umecheza mjini. Lakini mbona hizi timu zinakufungafunga sana? Halfu vijiji vyote havifanani na vya huko ulipotoka wewe. Wengine vijiji vyetu ni ulaya kwako. Sio kila mtu katoka chato. Kwni mm kukufunga ndio uanze kunitengenezea biography. Ok basi mm nilikuwa mshabiki wa Man U nikaona hatufanyi vizuri kila siku nafungwa tu nikaamua kuhamia city. Na wewe karibu.
 
Fred: "The coach (Mourinho) chose not to put me on the team, it's his choice. I always do my job and I can't let that affect my mentality, I can't let that disturb me. I have to be patient.”

Kwa maneno haya mourinho kaishindwa timu jamaa wameanza kuongea wamechoka

De gea hatak mkataba mpya hadi mourinho asepe kwa taarifa za chini.
 
Mourinho to Pogba in the Man United dressing room:

“You don't play. You don't respect players and supporters. And you kill the mentality of the good honest people around you.” [Duncan Castles]
 
Mourinho to Pogba in the Man United dressing room:

“You don't play. You don't respect players and supporters. And you kill the mentality of the good honest people around you.” [Duncan Castles]
Pogba na Mourinho tunafungwa kwa uzembe wao
 
Na Fred atakaa sana benchi chini ya utawala wa Mourinho maana Mourinho hana vision ya mafanikio tena kwa sasa.
 
Halafu humu ndani kuna baadhibya watu au mashabiki hawataki watu wawe washabiki wa timu tofauti na zao. Hawataki watu wawe chelsea au city. Na wanaenda mbali kulaumu eti wametoka arsenal au liver. Kwani aesenal na liver zimewakosea nn? Nyinyi mkichukiana halfu sisi tukawabamiza shida iko wapi? Ukiniuliza chelsea wamepata wapi mashabiki tz mm sijui ila kwani man u alipataje mashabiki tz? Arsenal alipataje au liver alipataje. Mm niliingia city baada ya kupelekwa kuangalia mpira mahali. Na sikuwa mshabiki ila kulikuwa na timu kama sita zinachuana. Sasa kila saa nasikia gooo goooo haipiti muda nasikia gooo. Nikauliza huo upande wa kila saa gooo ni nani na nani nikaambiwa manu na man city. Nikahamia huo upande nikaona ubao unasomeka Man unitend 1 Mancity 6. Kesho yake nikanunua jezi ya man city. Na ndo mpaka leo.
 
Haya wewe kumbe ulishawahi kuwa bingwa. Kumbe ulishawahi kuchukua makombe haya wewe mshindi. Sasa kwa mda huu umezeeka au mbona hufungi tena? Kiufupi wewe ni namba 1. Ni timu bora. Tena mnachukua na kombe msimu huu tena mtachukua na uefa.
Haya kwa hiyo roho inakuuma
 
Halafu ukiwaeleza hapa wanasema walishawahi kuifunga city zamani kipimo chao ni kuifunga city. Huyo city yupo namba 1 yeye yupo below top 4. Kiufupi city sio level yao. Mou anawashusha sana.
City haiwezi kuwa level ya United, hivi ule msimu Mtibwa ilivyochukua ubingwa ilikuwa level ya Yanga, au Simba? Au kipindi kile Mbeya City ipo vizuri ilikuwa level ya Yanga au Simba. Man City ni kama Mbeya City tu
 
City haiwezi kuwa level ya United, hivi ule msimu Mtibwa ilivyochukua ubingwa ilikuwa level ya Yanga, au Simba? Au kipindi kile Mbeya City ipo vizuri ilikuwa level ya Yanga au Simba. Man City ni kama Mbeya City tu
City hawezi kuwa level ya Man U. Kwanintunatafuta ushindi au level? City yupo uefa toka naanza kuishabikia 2010. Hiyo man U sikuizi uefa anasua sua. Mwakani haendi atakuwa level ya nani sasa? Hakuna kitu kizuri kama ucheze halafu ushinde. Sasa wewe unafungwa halafu unasema alienifunga hala level yangu? Dah haya bana
 
Haya kwa hiyo roho inakuuma
Iniume wakati nipo juu yako. Kiufupi pep yupo vizuri sana. Hatuumi huku. Ila wewe kila wiki kwako lazima ukosoe uchezaji wenu. Kiufupi man u wapo vizuri sana. Hawana kocha mzuri tu.
 
Safi Sana ndugu mchambuzi ambaye miaka michache nyuma hukujua hata Kama kuna kitu kinaitwa Jamii forums achilia mbali miaka ya Jambo forum wakati ambao hukujua hata maana ya internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…