Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi hii team itakuja kukaa kileleni kweli?alafu Maradona na Uteja wake anakwambia mou ni bora kuliko Pep
 
Hatushindwi kumuendeleza, ni mmoja ya wachezaji wamecheza mechi nyingi msimu huu lakini hakuna chochote alichofanya.
Nadhani namna ya Mwl anavyohandle situations wachezaji wanapokosea ndio inazua mlolongo Wa mchezaji kutojiamini na kucheza hovyo kwa muda mrefu
 
Hata viungo hakuna wanachocheza Rashford ni anautoto mwingi ...hakuna tunachocheza
 
Manchester United hii haina mechi rahisi tena hata mkicheza na Dynamo ya Shelisheli mechi itakuwa ngumu tu
NAWAKUMBUSHA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…