Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
Leo tunamshukuru refa kwa kutubeba na mbeleko ya chuma mwanzo mpaka mwisho, maana aibu ya kufungwa tatu ingetukumba tena.
Kama ulikua unaombea mpira uishe baada ya goal la pili ujue timu yako mbovu! That 2nd half was like 2 hours to you guys. Hamtafika mbali kwa mwendo huu! Kimoyomoyo mnanielewa ila for the sake of kujipa moyo endeleeni kutokwa povu hapa!
nimesoma BBC wameandika kwamba "And, chances are, the following three games after that(liverpool game) with it being the defender's second red of the season."Hapana mkuu atakosa mechi tatu, Carling Cup semi-final with Liverpool,Premier League games against Wigan na Tottenham,endapo ata appeal na kushindwa hapo atakosa mechi nne.
Hiki ni mojawapo ya kikosi kibovu cha Manu but ndio kilikupiga goli 8 hicho kikosi chako boraKama ulikua unaombea mpira uishe baada ya goal la pili ujue timu yako mbovu! That 2nd half was like 2 hours to you guys. Hamtafika mbali kwa mwendo huu! Kimoyomoyo mnanielewa ila for the sake of kujipa moyo endeleeni kutokwa povu hapa!
Hiki ni mojawapo ya kikosi kibovu cha Manu but ndio kilikupiga goli 8 hicho kikosi chako bora
Chelsea,Arse8,Manu,Liva,City et all wanabebwa au mnataka tuanze kutaja matukio
Hapana mkuu atakosa mechi tatu, Carling Cup semi-final with Liverpool,Premier League games against Wigan na Tottenham,endapo ata appeal na kushindwa hapo atakosa mechi nne.
Nimekusoma na kukuelewa mkuu.nimesoma BBC wameandika kwamba "And, chances are, the following three games after that(liverpool game) with it being the defender's second red of the season."
Kama ingekuwa ni ya kwanza kwa msimu basi angekosa mechi tatu
Kwa akili yako kile ndio kilikuwa kikosi bora cha Gunners!DWL!Hiki ni mojawapo ya kikosi kibovu cha Manu but ndio kilikupiga goli 8 hicho kikosi chako bora
Kwa akili yako kile ndio kilikuwa kikosi bora cha Gunners!DWL!
Jambo la msingi ni kuwa kwenye soka pesa is not everything...........ManCity wasifikiri pesa ndio mpira........na wataendelea kupoteza games kwenye EPL........watch
The Gunners wana matatizo ya pumzii............wanacheza vizuri sana isipokuwa hawawezi ku-maintain ule uchezaji wao......
Wacha1
umemuona rafiki yako Scholes karudi?
Juzi niliangalia mechi ya ManU and ManCity (enzi za akina Cantona, Steve Bruce, Cole and the like).......imagine SAF alikuwa Manager kipindi kile hadi leo.........wale walikuwa Red Devils kweli kweli..........
Anyway.........Mashetani hongereni kwa ushindi wa leo ......noisy neighbours walikuwa wanalia uwanjani leo........
Angalau mmepata kifutia jasho mligalagazwa sana. Chacha mlikumbuka kubakisha bahasha kwa mechi zinazokuja?
Angalau mmepata kifutia jasho mligalagazwa sana. Chacha mlikumbuka kubakisha bahasha kwa mechi zinazokuja?