Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo sare au mnaotewa kimoko,

Ile game ya kwanza madogo ndio walicheza ,

Gafla papatupapatu, mkapata eti magoli

Leo mkisare, next game mnaenda mestalla , mnaenda kuzikwa na kuelekea futuhi ,kwenye epl mtamaliza nafas ya 8
Hapo ndo umeongea nini?
 
Nilikuwa nasoma maoni ya wadau mbalimbali kutokana na ilw save ya degea.

Almost kila mtu hata mashabiki wa united wsnasema hatuna hadhi ya kuwa na kipa kama de gea.

Kipa anajitoa kwa ajili ya timu ila timu haioneshi juhudi zozote.
 
Manchester United kwa miezi mingi sasa wamekuwa wakishutumiwa kwa kucheza mchezo usiovutia, na kwa kuandikisha matokeo yasiyo ya kuridhisha sana.
Mashabiki hulalamika kwamba hakuna cha kufurahia, lakini meneja wao anaonekana kufidia hilo kwa vituko vyake.
Mreno huyo alisherehekea bao la ushindi lililofungwa na kiungo wa kati Marouane Fellaini dakika ya 91 kwa kunyanyua kreti ya maji na kuiangusha chini.

Kisha baadaye, alitumia kikao chake na wanahabari kutoa ujumbe kwa wanaompenda na kisha kumtawaza kipa wake "bora zaidi duniani."
Manchester United walikuwa wameonekana kuelekea kuandikisha sare nyingine tasa hadi pale Fellaini alipoufikia mpira wa Romelu Lukaku eneo la hatari uliokuwa umetokana na pasi ya Luke Shaw, akafanikiwa kumzuia mkabaji Loris Benito na kisha kutumbukiza mpira kwenye kona wavuni.
United wamefuzu kwa hatua ya makundi baada ya Juventus kuwalaza Valencia 1-0.

'Mwajua, niko sahihi'
Kusherehekea. Mwanachama wa bendi ya Nirvana, Kurt Cobain, alifahamika sana kwa kukamilisha matamasha yake wakati mwingine kwa kuvunja gitaa.
Mourinho alielekeza furaha yake na hisia zake kwa chupa za maji.

Hakujawahi kuonekana mtu mwenye machungu hivi kwa chupa za maji Old Trafford tangu Eric Cantona alipoulizwa maoni yake kuhusu mchezaji mwenzake Didier Deschamps.
Mourinho alikosolewa na Rio Ferdinand kwa kituko chake hicho kwenye BT Sport. Ferdinand, ambaye ni beki wa zamani wa Manchester United alidai kwamba Mourinho alifanya hivyo katika jaribio la kufanya kitu cha kugonga vichwa vya habari.

Kama hilo lilikuwa ndilo kusudi, basi alifanikiwa.

Lakini Jose hakubaliani na hilo.
"Wale wanaozungumzia kandanda, si wengi wao ambao wamekuwa uwanjani kama wakufunzi," alisema baada ya mechi.

Kwa wale wanaozungumzia mtu kuonyesha masikitiko yake akiwa kwenye basi, basi ninaweza kuwaalika waje waketi nami hapo kwenye benchi kama meneja.
"Pengine wanafurahia zaidi kuwa likizoni visiwa vya Barbvados na wanaweza kwenda kwenye runinga na kutumia vifaa hivyo vya kucheza kwenye skrini."

Hilo halina presha ukilinganisha na kuwa kwenye benchi. Nina uhakika asilimia mia kwamba hakuna meneja yeyote mwenye akili zake anaweza kumkosoa mwenzake kwa vituko alivyovifanya akiwa uwanjani. Kwa wale ambao wanaishi maisha mazuri yasiyo ya presha, ni tofauti."
Mourinho si meneja wa kwanza kuelekeza hisia zake kwa chupa za maji.
Arsene Wenger alifukuzwa uwanjani kwa kupiga teke chupa za maji alipokuwa meneja wa Arsenal walipokuwa wanacheza Old Trafford mwaka 2009.
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp naye aliomba radhi baada ya kuangusha chupa chini kwa hasira, baada ya sare ya msimu uliopita kati yao na Arsenal.

14 kutoka kwa 14
Mourinho hakuwa tayari kuzungumzia takwimu kuhusu uchezaji wa timu yake msimu huu.
United wanakaribia mkia kwenye Ligi ya Premia kuliko kileleni, na wamefungwa mabao zaidi ya mara nne ukilinganisha na wapinzani wao Manchester City na Liverpool.
Walishindwa kufunga dhidi ya Crystal palace nyumbani wikendi, na mchoro huu wa Michael Caley unaonesha mambo halisi.

Muhimu zaidi kwangu ni kufuzu na kwa baadhi ya watu wanaonipenda, na wanapenda takwimu hizo, nimekuwepo Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya misimu 14 na mara 14 timu zangu zimefuzu hadi hatua ya makundi," alisema Mourinho.
"Msimu ambao sikuwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, nilishinda Europa League."
Mreno huyo anaonekana kufahamu vyema zaidi takwimu kuhusu ufanisi wake.

'Najua anataka kusalia'
Mourinho alimsifia sana kipa wake David de Gea ambaye alitumia ustadi wa hali ya juu kuuzia United kufungwa.
De Gea, 28, mkataba wake Old Trafford unadumu hadi mwisho wa msimu, lakini klabu hiyo inaweza kuuongeza hadi mwaka 2020.
Ni kipa wa kiwango cha juu zaidi duniani; kipa bora zaidi duniani," alisema Mourinho

Najua anataka kusalia na wakala wake anataka kufanya atakavyo mchezaji huyo. Bodi inamtaka asalie na tunalifanyia kazi hilo."
 
Uyu mbwa si aje tu mbona anashoboka tangia kitamboo

Anafanya nini huko matofalini
 
This is the only time Sir Alex looked happy during a game and smiled. Jose did something good that made Sir Alex happy. What I enjoyed most was....Jose breaking the energy drinks and Sir Alex being joyful with the injury time winning goal from a player not many fans want at the club. Go Man Utd go. Win or Lose...always a Utd Fan.
 
United wapo karibu na mkia kuliko kileleni - Nonsense
 
HIKI NI KIGENGE CHA VICHAA
 
Uyu mbwa si aje tu mbona anashoboka tangia kitamboo

Anafanya nini huko matofaliniView attachment 948726

Nimeona nikuletee makala yote ili uelewe kwanini Tony aliisema Arsenal



In this evening's edition of United Review, the historic matchday programme at Old Trafford, Anthony Martial reveals the club he supported as a child and the many iconic players who have inspired his flourishing Reds career to date.
Scroll down to read part of the in-form France international's exclusive interview, which you can check out in in full by ordering a copy online or by grabbing yours from one of the kiosks at Old Trafford...


Favourite team
Anthony Martial says
“When I was a kid my favourite team was Lyon. It was at the time when almost all the best players were at the club. Lyon was really my team and that was also the reason I went to their Academy.”​
Anthony Martial


The Lyon players I admired
Anthony Martial says
“Karim Benzema was there, Juninho Pernambucano, with the great free-kicks. There was Lisandro Lopez, who went there after that. They had a lot of good players.”​
Anthony Martial


My hometown heroes
Anthony Martial says
“I always followed English football… Manchester United because Patrice Evra was there and he comes from the same town as me. I followed Arsenal as Thierry Henry was there, also from Les Ulis.”​
Anthony Martial


Other childhood idols
Anthony Martial says
“My two big heroes were both Brazilian: Ronaldinho and Ronaldo, because they had magic in their feet! Just about every player from my age group back then would probably tell you the same thing.”​
Anthony Martial


Other childhood idols
Anthony Martial says
“Then, for my French heroes, I had Thierry Henry, of course, and then Zinedine Zidane, Zizou. They were the best. I admired strikers, number 10s.”​
Anthony Martial


Modelling my game
Anthony Martial says
“I used to watch videos of everyone! Henry, Ronaldo – and another player who I really liked was Nicolas Anelka. He was a really great player, quick with loads of skill.”​
Anthony Martial



Modelling my game
Anthony Martial says
“I would watch every striker on the internet, and sometimes, right before a game, I’d be by myself watching action clips, so I’d be able to reproduce what they were doing in those videos.”​
Anthony Martial


My United great
Anthony Martial says
“It was Cristiano Ronaldo. He was incredible. He is incredible. I only admired players who dribbled the ball and he did just that. He would put on a real show. To tell you the truth, he got me dreaming that one day it could be me.”​
Anthony Martial


My United great
Anthony Martial says
“If I was a kid of 14 today, who would I admire? Current players today? For me, I think it would have to be Juan Mata. He is class personified.”​
Anthony Martial
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…