Hata shuti ON TARGET MOJA mmeshindwa kupiga,
Narudia kusema ile game ya kwanza mlicheza ovyo sana, madogo walitawala mpira, cha ajabu mkashinda magoli 3.
Leo na uhakika mnasare, labda itokee papatupapatu tena
Ila mnasare au mnazabukiwa kimoko
Then next game mnaenda spain mnaenda mnapigwa ,mnakuwa sawa point na valencia, wewe unaelekea FUTUHI ,
Naenda kulala nikiamka baadae nataraji kukuta matokeo NEGATIVE , mkishinda basi ni papatupapatu
View attachment 948595