Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Yap nimeona.....Ulitaka aseme Man wamebebwa ili alimwe fine na kufungiwa?(Udikteta wa FA)......Haya mkuu nikusahihishe umeona mahojiano ya Mancini kuhusu hii Red Card umeona wamemuuliza amejibu nini??sisi wa mtaani ndio tunasema Red Card fatilia alafu tuambie amesemaje walivyomuuliza kuhusu hiyo Red Card
Teh teh.......Ukweli unauma eeh!!!!Achana nao mbona Wolfs walicheza nusu na kudraw? Tena kwa red card ya makasa hawasemi?
Kwa msaada mzito wa refa.
TEHE TEHE TEHE
Yap nimeona.....Ulitaka aseme Man wamebebwa ili alimwe fine na kufungiwa?(Udikteta wa FA)......
All in all hongereni kwa ushindi...Na vipi kuhusu Handball ya Phil Jones dakika ya 82?
Tunakuja kwenu soon mkuu wewe subiri tu,hahaha maiti mlitaka tufungwe leo naona imekula kwenu mkuu hahah
Mkuuu vipi ile game tuliyocheza nao home kwetu wakatufunga mbona hamkusema kwamba wamebebwa ni United tu??
Nope.......Mimi nilitaka mshinde(sio kwa kubebwa), ndio maana hata kwenye post yangu ya kwanza hapa leo nimeandika 'Kila la heri Man Utd' na si 'Kila la heri Man City'
Mkuu, mimi mara nyingi refa akitoa maamuzi ya utata huwa nakubali hata kama maamuzi yameisaidia timu yangu kwa vile napenda soka; sio kila saa kuweka ushabiki mbele, tujaribu kulinda mchezo wenyewe pia. Refa kachemka kubali , na sio peke yake inatokea mara nyingi tu.
Achana nao mbona Wolfs walicheza nusu na kudraw? Tena kwa red card ya makasa hawasemi?
Njooni ata kesho, tena na mje na huyu refa na Howard Webb awe mshika kibendera. Kichapo tutawapa tu ha ha ha,
Hapana mkuu atakosa mechi tatu, Carling Cup semi-final with Liverpool,Premier League games against Wigan na Tottenham,endapo ata appeal na kushindwa hapo atakosa mechi nne.Kompany atakosa mechi nne zinazokuja za ligi kuu. Kuna uwezekano wakapoteza points, kwani hakuna Yaya Toure , Kolo Toure na Kompany.
Kama sio Red card kwa nini anataka ku appeal?Haya mkuu nikusahihishe umeona mahojiano ya Mancini kuhusu hii Red Card umeona wamemuuliza amejibu nini??sisi wa mtaani ndio tunasema Red Card fatilia alafu tuambie amesemaje walivyomuuliza kuhusu hiyo Red Card