Man u haifungi magoli siyo kwa sababu ya ubora wa wapinzani bali kwa sababu ya kujikaba yenyewe.Hajawahi sema yeye ndo chanzo cha kufungwa hata baada ya kumuanzisha Fellaini game ya city alisingizia eti tumechoka.....
Sijui board inawaza nini ila msimu ujao naona tunaenda Europa... Pia tunashindwa kuonesha movement za kutafuta goli sisi tukianza kurukaruka basi ndo dakika zote... Mou anatuongezea mzigo tu, tuchukue kocha mwingine apewe uhuru na director asimamie vizuri usajili na mikataba plus academy players....
Lakini jana pia Darmian hakicheza vibaya sana japo mechi fitness ilikuwa ilikuwa shida kwakeJana nimemuangalia martial kaganda upande ule ule wa kushoto hii ina maana maelezo ya kocha huyu mtu ni mzur akiwa anatokea pembeni kuingia ndani ya box la adui nikamuona sanchez anashuka sehemu ya pogba kufuata mipira hii ina maana hakuna viungo wanaompelekea huduma twende mbele kushambulia kama ukianza na herrera,pogba na fred mbele kukawa na martail,rashford na sanchez au mata akakaa pa fred tayar timu ipo sawa
Shaw siwez kusema alikuwa na kadi ila darmian hana ubavu wa kumuweka bench dalot alicheza vizur sana mech ya liverpool vs porto uefa pale anfield tayar mzoef sijui kwa nini anakaa banch na mech iliisha 0-0
Nilichogundua mourinho anapata tabu kwenye hivi vi timu vidogo kufunga magoli hashambulii bado tunakaba na vyenyewe vinacheza mfumo kama wetu sasa ngoma inakuwa nzitoMan u haifungi magoli siyo kwa sababu ya ubora wa wapinzani bali kwa sababu ya kujikaba yenyewe.
Jana timu ilikuwa inacheza bila malengo yoyote kila mtu alikuwa na ambition zake timu nzima imechoka kimwili na kiakili.
Tukiendelea hivi kwenye chrismass tutakuwa kwenye relegation zone
Nilichogundua mourinho anapata tabu kwenye hivi vi timu vidogo kufunga magoli hashambulii bado tunakaba na vyenyewe vinacheza mfumo kama wetu sasa ngoma inakuwa nzito
Ukiona mtu anatangaza vitu alivyokuwa navyo sasa hana dalili ya kufilisika kibaya mi nnachochukia kuponda players mbele ya media ujue wanaharibika kisaikolojia namuelewa sana lakin kwenye hicho kipengele ananichosha sanaSir Alex Ferguson alikuwa Kocha Bora na Most Successful manager kwenye EPL lakini sikuwahi Kumsikia Kwenye Press akijisifu Kuwa Yeye Ni Kocha bora Kuliko Makocha wote Wa EPL..
Wala sikuwahi Kumsikia akijisifu kuwa yeye Ni Kocha Bora duniani..
Lakini Morinho haipiti Wiki atajisifu mbele ya Waandishi Wa Habari na Kuponda Wachezaji..
Hili ndiyo Linalomdhuru..
Lakini Si Kweli Kuwa Pogaba au Fred wabovu!!!
Bali Mourinho anawafanya waonekane Wabovu.
Martial
Rashford
Lingard
Hawa wakipata Kocha mwenye Urafiki na Wachezaji basi nakuhakikishia Ni Kina Giggs wapya hawa.
Lakini Mou anawaona kama Wauza Mihogo ya Kuchoma pale Ferri zinapokaa gari za Tegete - Nyuki.
Mkuu Mourinho alim mind Valencia, kipindi kile kimenuka United, mara matokeo mabaya, mara agombane na Pogba. Kuna Instagram mtu alipost kwamba Mourinho atumbuliwe, Valencia akai like hiyo post, tangu hapo Mourinho akamlia BaTiMechi ya jana kanishangaza sana kumuacha fred nje ni kumdharau jamaa hata dalot yaani palace tunawaogopa? Sijui valencia anatatizo nae pia,,, Mi naona mourinho anatafuta sababu za kufukuzwa kwa sasa
Daaa hapa ni ngumu kuirudisha timu kwenye mstar maana yake wachezaj washagwanyika ni vigumu kupata chemistry ya timu huwez kuuza players wote kwa ajili ya kocha hapo atumbuliwe tu hamna namna.Mkuu Mourinho alim mind Valencia, kipindi kile kimenuka United, mara matokeo mabaya, mara agombane na Pogba. Kuna Instagram mtu alipost kwamba Mourinho atumbuliwe, Valencia akai like hiyo post, tangu hapo Mourinho akamlia BaTi
Pia kuna incidence nyingine, Mourinho alitaka Valencia awepo uwanjani kwenye mechi nadhani ya Derby (kwakuwa ni Captain), Valencia hakwenda, hilo suaka pia lilimuudhi Mourinho.
Hahahahahaha, eti atumbuliweDaaa hapa ni ngumu kuirudisha timu kwenye msatar maana yake wachezaj washagwanyika ni vigumu kupata chemistry ya timu huwez kuuza players wote kwa ajili ya kocha hapo atumbuliwe tu hamna namna.
Naona zidane hana timu tungeanzia hapo kwanza hata yule kocha wa spurs aibwe ty hamna namnaHahahahahaha, eti atumbuliwe
Akishatumbuliwa unamleta nani ambaye kwa sasa yupo sokoni
Moja kati kitu kinachoipeleka mbele City ni continuity, na continuity inaletwa kwa kiasi kikubwa na Sporting/Football Director
Sasa United inabidi tuanzie hapo kwa Sporting Director
Naona zidane hana timu tungeanzia hapo kwanza hata yule kocha wa spurs aibwe ty hamna namna
Kusema ukweli, kuweka Zidane ni muendelezo wa majaribio tu (kwangu naona Zidane alipata mafanikio pale Madrid kwa kuwa alikuwepo mahali sahihi, wakati sahihi akiwa na wachezaji sahihi, sioni Zidane akitamba nje ya Madrid ile)Naona zidane hana timu tungeanzia hapo kwanza hata yule kocha wa spurs aibwe ty hamna namna
Sawa mwalimu KashashaDaaa hapa ni ngumu kuirudisha timu kwenye mstar maana yake wachezaj washagwanyika ni vigumu kupata CHEMISTRY ya timu huwez kuuza players wote kwa ajili ya kocha hapo atumbuliwe tu hamna namna.
Umefufuka sasaSawa mwalimu Kashasha
Sijawah kufa braza...Umefufuka sasa