Hivi hii team inataka kuchukua ubingwa au inagombea top four?maana man city anashinda tu liva nae anashinda tu,kwa mwendo huu nadhan mou bado anatengeneza team ya ubingwa,lakin ninamashaka nae maana msimu wa tatu huu bila bila na huwa sio kawaida yake kabsa,na kama anatengeneza mbona ni muda mrefu hivi?coz hata gari huwa alitengenezwi hivi
Kocha leo kazingua vibaya sana unamtoa pogba unamuingiza sanchez badala ya fred? Lingard si mchezaj wa kuanza unaacha nje sanchez mata anatoka unaingiza fellain du
Utumbo huu wa leo hana nafasi anaharibu morali ya players hapa kidogo nimeshangaa yani fred anasugua? Hata sanchez hawez kusubir kwa lingard pamoja na ubovu wake