Sina kumbukumbu ni lini tulishinda 5 baada ya ferguson..Yeap! Natamani tuanze kwa kufurahi, tuitakie Kheri timu pengine nasi tutapiga mtu mkono. Goal difference yetu ni mbovu mno, hivyo hatuhitaji ushindi tu bali ushindi mkubwa.
Mkuu leta basi possible lineup ya leo vs palaceSina kumbukumbu ni lini tulishinda 5 baada ya ferguson..
Lakini Lets hope tutaimarika sina zijazo
Mkuu sijaipata..ila nahisi lukaku leo anaweza kuanza.Mkuu leta basi possible lineup ya leo vs palace
DuuuMkuu sijaipata..ila nahisi lukaku leo anaweza kuanza.
Duuu
Mbna kama hakucheza ile mechi ya mwsho belgium akishinda 5?.
Hivi mechi SAA ngapi wakuu wengine huwa hatuna fixtureLukaku anaanza kweli kama ulivosema
Fred daah!!??..hapo ndo tunashindwa kuelewa mwalimu alimnunua ili aje afanye nini OT??
1800Hivi mechi SAA ngapi wakuu wengine huwa hatuna fixture
Lukaku anaanza kweli kama ulivosema
Fred daah!!??..hapo ndo tunashindwa kuelewa mwalimu alimnunua ili aje afanye nini OT??
Hizo fullbacks duuh, dalot hata sub hayupo(au ni injury?), matic na lukaku kama kawaida. View attachment 945019
Anyway, GGMU
Jamaa anatukosea heshima ujue matic kashindwa kabisa kuilinda bek yetuAnaanza mkuu,Fred yupo bench.
Matic pamoja na kuwa mchovu bado anaanza.
Nimechoka kabisa dalot anakosaje kucheza hii mech?Hizo fullbacks duuh, dalot hata sub hayupo(au ni injury?), matic na lukaku kama kawaida. View attachment 945019
Anyway, GGMU
Nimemuona darmian wa JFNdio hakucheza ila kwenye press aliyofanya Mourinho jana alisema yupo tayari kuchaguliwa kwenye mechi ya leo..
Jamaa anatukosea heshima ujue matic kashindwa kabisa kuilinda bek yetu