Angalia usije ukapata stress wewe mkuu, maana naona kabisa namna Cristal Palace atakavyo ku disappointMuda wenu wa kupumzika una karibia kuisha Ijumamosi mnarudi kwenye Maisha yenu ya Mateso na stress.... ....
.........Tuanze kuandaa maturubai ya Msiba wa Ijumamosi .
hahahahaaaaa una utani wa ajabu sana muheshimiwa radika.
umesahau hata willian wa chelsea,axel witsel wa dortmund wote wana nywele nyingi lakini wanakimbia kama chui.
teh teh teh
lord fellaini.
hawa kina lindeloff, luke shaw na antony martial kilichosababisha tuchelewe kuona faida yao kwa muda mfupi kwa mawazo yangu sababu ni hii ya kutokupewa muda wa kutosha ili wapate kuonyesha improvement yao.
hahahahahaaaa ndio narudi pale pale kwenye rotation system. tuacheni na huo mjadala kwa sababu kocha ndio mwenye maamuzi ya mwisho.
kwa nini namtetea eric bailly?
nikiangalia performance yake aliyoionyesha miaka miwili ndani ya klabu halafu leo hii anasugua benchi japokuwa makosa ni yeye mwenyewe inaumiza sana, eric bailly na wakala wake bila shaka huko waliko wanajipa matumaini ya kuwa wanastahili kuanza kikosi cha kwanza mara kwa mara, kivyovyote hali ikiendelea hivi eric bailly hatovumilia tena kukaa benchi na atahitaji kuondoka ili akatafute changamoto mpya.
kwa akili ya kawaida unapoambiwa umchague kati ya eric bailly au smalling mmoja wapo aondoke utamchagua yupi?
jibu litabaki nafsini kwako.
hiki ndicho ninachokiogopa mimi nyakati hizi za uvumi wa tottenham na arsenal kumuhitaji eric bailly.
ukiangalia defence line yetu ni victor lindelof peke yake ndiye mwenye skills nusu ya alivyonavyo eric bailly ila tatizo lake hajachangamka sana.
jose anapaswa amdanganye bailly kama anavyodanganywa mtoto anapopewa pipi, hii itasaidia kumuondolea mawazo ya kutaka kuondoka siku za mbeleni.
nusu na robo ya wachezaji huhama timu wanapowekwa nje.
ni sahihi kumuondoa jones ukamleta maguire au alderwereld lakini itakuwa ni uzembe kama ataondoka eric bailly halafu tukamleta maguire au alderweireld labda tuwasajili wote wawili.
Dakika zile 45 zilikuwa kama mia kwa man cityumetukumbusha mbali sana brother, ile mechi kama naiona kwenye mfumo wangu wa ufahamu muda huu.
nakumbuka kipindi cha pili SAF alimuingiza anderson na tom cleverley eneo la kiungo na pembeni alikuwepo luis nani pamoja na ashley young akiwa kwenye ubora wake mechi za mwanzoni kabla hajapata majeruhi nyakati hizo ndio tunamsajili kutoka aston villa.
ile come back ilikuwa ni noma sana.
yaya toure baada ya kuingiziwa mjinga mwenziwe anderson anayejua kutembea na mipira aliomba mpira umalizike si unajua jamaa akikutana na box to box wenzake anakuwa mnyonge sana.
kwa mfano anapokutana na watu kama ramirez yule wa chelsea au moussa dembele mjomba toure utamuonea huruma.
mwanzoni mwa ligi tulianza vizuri sana lakini majeruhi ya anderso, cleverley, nani, jones yakaturudisha nyuma mpaka tukachukua mzigo wa goli 6 kwa majirani.
huwezi amini mwisho wa msimu man city walichukua ubingwa kwa tofauti sijui ya magoli au pointi 1?
fergie akaona kumbe timu tatizo ni striker rooney na wenzake wameanza kuchoka.
ok ngoja nimsajili robin van persie anirudishie ubingwa wangu halafu niwaachie balaa lenu si munasema nimekuwa mbahili siku hizi.
hehheheheheeee
dah yule mzee sijui alikuwa ni mchawi?
Hata Mimi navutiwa sana na falsafa ya Leornado JardimMkuu Damushin asante kwa hoja zako xilizotimia kama kiungo cha Xavier Hernandez na Iniesta....Mkuu nakazia mno kwa huyu mtu anaitwa Maguire analeardership flani huyu mtu... Pia atasaidia mno beki ziwe imara ingawa kuna stats zinaonesha anapata shida kwenye counter attacks but ni mtu mzuri Sana...... Pia ESPN waliripoti kuwa Ed amegoma kumuapoint Ivan sababu ni mreno mwenzie na Jose pia Mou no empendekeza Jamaa, so anahofia jamaa wataleta urafiki kazini.....
ila usajili wa muhimu kwa Man United ni director alietulia na yupo composed pia awe mbunifu na muwazi.... director ndo afike aongee na Mou kuona malengo ya Mou plus anapofeli kama hatafurahishwa na nyenendo za Mou...Mou aende huyo huyo director apemdekeze kocha mzuri aje wafanye kwa ushirikiano mkubwa.... Honestly navutiwa na Carlo ancelotti na Jardim aliefukuzwa Monaco pale ila kumtoa Carlo pale Napoli ni vigumu mno ukizingatia huu ni Msimu wake wa 1 na lazima anataka atomizer malengo yake Kwanza ndo asepe...... Jardim yupo huru na ni mzuri mno but nae kuna maswali kama atafit united
Huyu Axel wistsel sijajua kwanini hajawahi kupata team kubwa kwa kiwango alichonachoAxel Witsel namkubali sana
And Labda tunaweza tusiimarike kabisa maana aina ya wachezaji wake na anavyowatumia akiwatumia msimu mmoja unaofuata wanakua wamechoka mno na hawajiweziUtd ikiendelea kubaki chini ya morinho itatuchukua misimu mitatu mpaka minne kuimarika..progress is very slow..
Bora wengine 2siandike , 2some kuliko kuandika upupuUwe unatoa na ww michango yako
Hapana sio hivyo.Chelsea na United ni timu tofauti zinavyoendeshwa na wakati anaenda Chelsea kwa mara ya kwanza Roman alikuwa anataka kutengeneza empire ndio maana alimpa wachezaji wote ambao Mourinho aliwataka na walifanikiwa Mourinho ndio ametengeneza foundation ya mafanikio ya Chelsea na hii ndio faida anayoipata Pep kwa wale waarabu wanaamini Pep atawapeleka next step ndio maana wanamsikiliza pia kumbuka alivyoenda Chelsea mara ya pili aliwasajili Willian,Costa,Fabregas,Matic ambao hawa pia walikuwa na impact kubwa Chelsea
Kocha yeyote akija Manchester United baada ya SAF lazima ata-struggle lazima tukubaliane na hili the problem most of us tumeishangilia United kipindi cha mafanikio so ni ngumu sana kuona timu ikiwa inafanya vibaya
Kocha hawezi ku-aprove mchezaji auzwe kama hajapata replacement yake (Darmian ilikuwa auzwe) lakini wakati tunaanza msimu most of senior defenders walikuwa majeruhi au hawakwenda pre-season sababu walitoka WC (Young,Dalot,Rojo,Valencia).
Eti badala ya kuumia matic anaumia pogba.Kikosi changu kesho
De gea
Dalot Smalling Lindelof Young
Fred Perreira Pogba
Mata Sanchez Martial
If Pogba is fit..maana kuna tetesi kuwa bado ni majeruhi..
Kikosi changu kesho
De gea
Dalot Smalling Lindelof Young
Fred Perreira Pogba
Mata Sanchez Martial
If Pogba is fit..maana kuna tetesi kuwa bado ni majeruhi..
Matic inabidi apumzishwe aisee..anaonekana kuchoka sana siku hiziEti badala ya kuumia matic anaumia pogba.
Naamini hawezi kufanya hivyo..mimi hicho ni kikosi ambacho ningependa kukiona kesho..José huyu amuweke bench matic?
Naamini hawezi kufanya hivyo..mimi hicho ni kikosi ambacho ningependa kukiona kesho..
Kitu ambacho Mimi nakiona kama moja wapo ya sababu ya Baily kuwekwa benchi msimu huu ni sababu ya majeruhi. Tangu msimu ulio pita Baily amekuwa ana umia umia sana. Nakumbuka hata humu ndani kuna watu walikuwa wanamlaum Jose Kuwa mpaka anaenda msimu wake wa tatu hajui chaguo lake la kwanza la mabeki wa kati. Ila Baily anacheza mechi mbili pancha, Rojo na Jones ndio tusiwaongelee. Linderlof alikuwa hajakomaa Kwenye Epl. Unakuja kuona Smalling ndiye alikuwa beki pekee ambaye alikuwa ana kupa guarantee ya Kuwa available atleast Kwenye robo tatu ya mechi zote Kwa msimu. Kwa msimu huu Linderlof ame improve kiasi na Smalling ndio yule. Na wote tunajua Kuwa beki za kati zinahitaji kucheza Kwa pamoja Kwa muda mrefu ili waweze kuzoeana. Kwa jicho hili unakuta Mou hana Option nyingine zaidi ya kuwaamini Smalling na Lindelof mbele ya Baily.hawa kina lindeloff, luke shaw na antony martial kilichosababisha tuchelewe kuona faida yao kwa muda mfupi kwa mawazo yangu sababu ni hii ya kutokupewa muda wa kutosha ili wapate kuonyesha improvement yao.
hahahahahaaaa ndio narudi pale pale kwenye rotation system. tuacheni na huo mjadala kwa sababu kocha ndio mwenye maamuzi ya mwisho.
kwa nini namtetea eric bailly?
nikiangalia performance yake aliyoionyesha miaka miwili ndani ya klabu halafu leo hii anasugua benchi japokuwa makosa ni yeye mwenyewe inaumiza sana, eric bailly na wakala wake bila shaka huko waliko wanajipa matumaini ya kuwa wanastahili kuanza kikosi cha kwanza mara kwa mara, kivyovyote hali ikiendelea hivi eric bailly hatovumilia tena kukaa benchi na atahitaji kuondoka ili akatafute changamoto mpya.
kwa akili ya kawaida unapoambiwa umchague kati ya eric bailly au smalling mmoja wapo aondoke utamchagua yupi?
jibu litabaki nafsini kwako.
hiki ndicho ninachokiogopa mimi nyakati hizi za uvumi wa tottenham na arsenal kumuhitaji eric bailly.
ukiangalia defence line yetu ni victor lindelof peke yake ndiye mwenye skills nusu ya alivyonavyo eric bailly ila tatizo lake hajachangamka sana.
jose anapaswa amdanganye bailly kama anavyodanganywa mtoto anapopewa pipi, hii itasaidia kumuondolea mawazo ya kutaka kuondoka siku za mbeleni.
nusu na robo ya wachezaji huhama timu wanapowekwa nje.
ni sahihi kumuondoa jones ukamleta maguire au alderwereld lakini itakuwa ni uzembe kama ataondoka eric bailly halafu tukamleta maguire au alderweireld labda tuwasajili wote wawili.
Yeap! Natamani tuanze kwa kufurahi, tuitakie Kheri timu pengine nasi tutapiga mtu mkono. Goal difference yetu ni mbovu mno, hivyo hatuhitaji ushindi tu bali ushindi mkubwa.GGMU
It is matchday...