Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
Kwa hiyo wew unaamini utamakiza ligi juu ya Chelsea kwa wachezaji sampuli ya Rashford na Lingard..Kuwa juu si ajabu
Alaves na Espanyol wapo juu ya Madrid, lakini bado watabaki kuwa watoto tu wa Madrid
Huyo ni MEMKWAHuyu jamaa ni lile kundi lililokosa hoja huwa wanatafuta kichaka cha kijifichia muulize fainali ya moscow kati ya chelsea na united refa alikuwa web?
Duh.... Sasa naanza kuelewa ugonjwa wa man u... Naona mlimpa namba saba pale OT mkamvua kwa aibuExactly.
Hata mm namuona alikuja na takwimu za yule kiungo wao anapiga pass nyingi wanapasiana na rudiga anakwambia ni bora zaidi ya pogbaHuyo ni MEMKWA
Kama morata na torres plus falcao sio?Duh.... Sasa naanza kuelewa ugonjwa wa man u... Naona mlimpa namba saba pale OT mkamvua kwa aibu
Mkuu umeniwahi, na mimi nilitaka niulizeHalafu mbana unapenda kuweka vi emoj vya kucheka cheka una ugonjwa gani?
Dawa yake makonda tu huyu.Mkuu umeniwahi, na mimi nilitaka niulize
Kwetu huku Wanaume huwa hatujichekeshi chekeshi
Kama ambavyo umekuja na tune ya hazard na Martial yani kwenye kikosi chako una Hazard na Martila unaweza kumchukua Martil? Kweli kabisa uko mentali fit 😂Nyumbani kwenu huwa ndo mpo hivyo mnapamba mavi? Kuna mdau hapo kakwambia wewe unachojua ni matusi mpira hujui
Zaman mamluki wa city walikuwa wanamfananisha rashford na ihenacho naona tune imebadilika mamluk mpya umekuja na tune yako
😂😂😂😂Mkuu umeniwahi, na mimi nilitaka niulize
Kwetu huku Wanaume huwa hatujichekeshi chekeshi
Povu 😂 unakimbia hoja... Huu mchezo hauhitaji hasira.. Kama vip ombeni Web arud mana sio kwa hasira hzi 😂Dawa yake makonda tu huyu.
Sasa kama Barcelona walilipa mkwanja mrefu kwa dembele na coutinho wakamuacha hazard mimi nashindwaje kumpiga chini? Ananunuliwa mariano na madrid anapewa jezi ya ronaldo namba 7 anachwa hazard huoni kama inawezekana?Kama ambavyo umekuja na tune ya hazard na Martial yani kwenye kikosi chako una Hazard na Martila unaweza kumchukua Martil? Kweli kabisa uko mentali fit
Hadi Chelsea Iwe chini ndiyo utaamini.Kwa hiyo wew unaamini utamakiza ligi juu ya Chelsea kwa wachezaji sampuli ya Rashford na Lingard..
Hii ilikuwa haikuhusu mbona uko hivyo una tatizo gani?Povuunakimbia hoja... Huu mchezo hauhitaji hasira.. Kama vip ombeni Web arud mana sio kwa hasira hzi
Wewe unaonajeKwa hiyo wew unaamini utamakiza ligi juu ya Chelsea kwa wachezaji sampuli ya Rashford na Lingard..
Mkuu una akili Sana. Kwa maneno machache haya kwa wanaomtetea hazard wakiendelea kubisha ni sawa na kuvaa chupi kichwani.Sasa kama Barcelona walilipa mkwanja mrefu kwa dembele na coutinho wakamuacha hazard mimi nashindwaje kumpiga chini? Ananunuliwa mariano na madrid anapewa jezi ya ronaldo namba 7 anachwa hazard huini maajabu huoni kama inawezekana
Kwan msimu uliopita alimaliza juu kwa sampuli ya wachezaji ganiKwa hiyo wew unaamini utamakiza ligi juu ya Chelsea kwa wachezaji sampuli ya Rashford na Lingard..
Hivi mkuu hili swali ulikuwa na usingizi au umeropoka? Ile nafasi ya pili tuliyomaliza wewe ulikuwa bingwa? Au lingard na rashford hawakuwepo? Mi ndo mana nakwambia wewe unaongozwa na chuki msimu ulioisha tumemaliza juu yako hao madogo wakiwepo au huchez europa wewe?Kwa hiyo wew unaamini utamakiza ligi juu ya Chelsea kwa wachezaji sampuli ya Rashford na Lingard..
Mkuu hawa madogo tunahitaji kuwasaidia kuna swali kauliza kama rashaford na libgard timu yetu inaweza kumaliza juu ya chelsea wakat yeye anacheza europa sijui alimaliza juu ya rashford na lingardMkuu una akili Sana. Kwa maneno machache haya kwa wanaomtetea hazard wakiendelea kubisha ni sawa na kuvaa chupi kichwani.
Mechi ya juzi mpuuzi mmoja alibaki kumsifu harzard against rashford. Hakujua tu, aliniboa Sana, nashukuru kingomero langu lilibana punzi
Tuwasamehe mkuu hamna wajuz wa soka hapa tunapeana changamoto na vitoto.Kwan msimu uliopita alimaliza juu kwa sampuli ya wachezaji gani