Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tatizo mna kelele sana.. Yani mkishinda game moja huwa hapatoshi humu na timu yenu kubwa
Kwa hiyo hapa wewe umenyamaza? Hizo kelele unaziona wewe wenzio wakina kunguru mjanja hawazioni? Hizo kelele zinakuuma nini? Jikite kwenye kushangilia timu yako
 
Reactions: xbs
Aliekupiga uefa ni nani? Refa alikuwa web mi sisomi post zako naangalia juu ulivyoanza kisha najua idea yako nzima
Ahsante kama husomi lkn unanijibu hata nilipo muweka Web mwishoni napo unapaona japo hujapasoma... πŸ˜‚ sasa mkuu sisi si timu ndogo sasa mwaka 2008 huko na ww ndo timu kubwa... Naona tangu kipindi hicho umekua unaenda UEFA ku report wakat timu ndogo kama Chelsea zinaiwakilisha vema Uingereza timu kubwa mnaishia makundi mnakuja huku Europa kwetu watoto
 
Mhispania flop wa Guardiola anaitwa Nolito
 
Kwa hiyo web alicheza fainali ya uefa?
 
Kabla ya hapo alikuepo NEW RONALDO wakuitwa Depay...
tunapataga tabu sana
Sasa ulitaka wamsifia hazard? Yani kweli nyie mnatia huruma mtu aache kusifia mchezaj wake mnampangia hadi namna ya kuangalia vitu gani vinamvutia?
 
Sane ni bora kuliko rashfod, lukaku, na Martial lakini sisi Kamwe hatumsifii kabisa acheni kupamba mavi maua wanandugu
Mchezaji anasifiwa na mashabiki wa united mshabiki mvamizi mamluki wa city anaumia na wa chelsea what a joke!!!! Hiki ni kituko cha mwaka
 
Chelsea ni watoto wadogo wa juzi, hata hawaniumizi kichwa mwaka huu wenyewe bado kidogo niwanyoe pale pale darajani
 
Anthony Martial this season:

β€’ Games = 9.
β€’ Goals = 6.
β€’ Minutes played = 621.

Eden Hazard this season:

β€’ Games = 11.
β€’ Goals 7.
β€’ Minutes played = 783.

If I speak then I’m in big trouble..
Wataumia sana hapo hao nzi walitegemea wakija hapa wakute takwimu za hazard na aguero mkuu unatafuta vita
 
Sane ni bora kuliko rashfod, lukaku, na Martial lakini sisi Kamwe hatumsifii kabisa acheni kupamba mavi maua wanandugu
Sasa wewe si ndo umeona nani kakubishia? Kwako sane ni bora iko hivyo so what?
 
Chelsea ni watoto wadogo wa juzi, hata hawaniumizi kichwa mwaka huu wenyewe bado kidogo niwanyoe pale pale darajani
πŸ˜‚πŸ˜‚ si ndo nashangaa ulishindwa kuwanyoa wale watoto pale darajani... Sasa napata tabu pale ambapo watoto wako juu akaf wakubwa wako nafasi ya saba, nane nane huko..... πŸ˜‚
 
Muache unafiki wa kupamba mavi maua
Nyumbani kwenu huwa ndo mpo hivyo mnapamba mavi? Kuna mdau hapo kakwambia wewe unachojua ni matusi mpira hujui

Zaman mamluki wa city walikuwa wanamfananisha rashford na ihenacho naona tune imebadilika mamluk mpya umekuja na tune yako
 
Na ya depay na Cr7 ilishia wapi mkuu?
Nyumbani kwenu huwa ndo mpo hivyo mnapamba mavi? Kuna mdau hapo kakwambia wewe unachojua ni matusi mpira hujui

Zaman mamluki wa city walikuwa wanamfananisha rashford na ihenacho naona tune imebadilika mamluk mpya umekuja na tune yako
 
Jamaa...ndio nisiowapenda kabisa, hasa mnapoanza kumtaja web, hivi katika akili ndogo tu, mafanikio ya man utd huko nyuma ilikuwa upendeleo unadhani, akili ya kitoto Sana. Na je makocha wanaochemsha, unadhani tatizo lipo kwa Nani? Ushabiki huu kwenye mabanda ya video tunawanyamazia tu, hapa kwa Thinkers huwezi andika upupu Kama huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…