Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kushabikia man city ni sawa na kushabikia mbeya city tu

Kung'aa msimu mmoja au miwili hakuifanyi timu kuwa bora

Embe always ni tunda la msimu tu
Yupo mmoja tu anaitwa kayeke hata uchangiaji wake utajua ni mpenda soka sio mtu wa mihemko lakin mamluki huwa wanalazimisha timu fulani kuishusha.
 
Yupo mmoja tu anaitwa kayeke hata uchangiaji wake utajua ni mpenda soka sio mtu wa mihemko lakin mamluki huwa wanalazimisha timu fulani kuishusha.
Wengi wa Man City fans huwa either ni MEMKWA (wamejua soka ukubwani) au Wahamiaji kutoka timu nyingine (ambao pia watahama timu ikishuka kiwango)

Ndio maana mimi huwa nawacheeeki.....
 
Wengi wa Man City fans huwa either ni MEMKWA (wamejua soka ukubwani) au Wahamiaji kutoka timu nyingine (ambao pia watahama timu ikishuka kiwango)

Ndio maana mimi huwa nawacheeeki.....
Lakin tuangalie pande zote, kwa nini wanaandamwa fans wa City tu? Kwani wao ndo wenye makosa tu? Au teams zenu mashabaki ni wale wale wa miaka zote? Mnaposema kuw fans wote wa City ni wahamiaji, ujuw mnakosea sana.
 
In what context🤷🏾‍♀️.... Maana kila mwl apo ana tactics zake, MOUH yupo anaamini kwenye mpira wa kujihami zaidi navyoona mimi.
Mkuu hapo tunaongelea in general context

Angalia mfano Mou timu alizofundisha na kupata mafanikio, Porto, Chelsea mara 2, Real Madrid na Inter

Porto kachukua UCL, je Guardiola anaweza beba UCL na Porto au timu yenye profile sawa na Porto?

Angalia alichokifanya akiwa Inter, kocha wa kwanza kushinda makombe 3 ndani ya msimu mmoja tena akiwa na Inter ya kawaida tu

Ameenda Uingereza wababe wakiwa ni United na Arsenal, tangu aingie pale Premier imekuwa ya yoyote, hakuna wenye haki miliki

Madrid amechukua Segunda na kombe la ligi huku akiwa anapambana pengine dhidi ya timu bora kuliko zote kwa wakati wote duniani. Hapa naongelea Barcelona ya Lio at his prime, Iniesta, Xavier, Bosquet, Puyol n.k

Rudi kwa Guardiola, kwanza nakubali kwamba Guardiola ni moja kati ya makocha bora duniani

Lakini lazima tukubali kwamba mafanikio yake kwa sehemu kubwa yamebebwa na ubora wa individual players aliowahi kuwafundisha, udhaifu wa ligi alizopitia na support anayoipata kwa wamiliki wa club zake. Hii inajidhihirisha pale Barcelona, Bayern Munich na City anapondisha kwa sasa

Na ndio maana sitashangaa siku za usoni, nikimuona Guardiola anaenda PSG au Juventus
 
Lakin tuangalie pande zote, kwa nini wanaandamwa fans wa City tu? Kwani wao ndo wenye makosa tu? Au teams zenu mashabaki ni wale wale wa miaka zote? Mnaposema kuw fans wote wa City ni wahamiaji, ujuw mnakosea sana.
Mkuu sijasema wote, nimesema baadhi

Wengine wanajielewa sana
 
Upo nakubaliana na wewe ya kuwa Pep amekuwa na bahati ya kukutana Prime team au management kitu ambacho kwa namna moja au nyingine kimempa mafanikio. Nakumbuka kitambo kidogo wakati anatoka Barca kwenda Munich, Edo aliwahi muandikia kuwa Pep amejificha kwenye kivuli cha mchicha.
But kwa upande mwingine wa sarafu MoUH amepita kwenye club za wapambanaji au vikosi vya kawaida lakini bado nayeye alikuwa na imani na wachezaji wa kaliba flan mfano, Chelsea ya Drogba au Inter ya 2009/10 ambayo iliundwa na vijana machachari kama Ricardo Quaresma, Thiago Motta, Wesley Sneijder, Samuel Eto'o, Diego Milito bila kusahau beki za akina Javier Zanetti (alikuwa captein wao),Marco Materazzi na Maicon... So MoUH alibahatika kupata watu flan kwenye kipindi ambacho soka halijaingiliwa na commercials na watu walikuwa kazi kazi. Tofauti na sasa hivi MoUH anaoneka too old fassioned etc... Still MoUH anabaki na heshima zake.
 
Mkuu pata like..
 
We huko Tandahimba unasema hivyo, ngoja tuone na ma-legendary wa soccer wanasemaje View attachment 934689
nani anaongoza league? Na nani anarecord nzuri wakikutana? pia maradona hajui chochote kuhusu ukocha mbona alishindwa kuiongoza Argentina iliyo kuwa moto..... Pia jamaa ni drug addict mzuri tu nani anajua aliongea hivo skies katika hali gani
 
Mkuu hata kwenye mpira wa kujihami Mou Hamfikii Pep tuangalie goals conceded tutajua Mou time is up.... Anahitaji kupumzika Kwanzaa he is a Chelsea failure alishindwa hata kule Madrid alishindwa
Hahahahahaha mkuu kama ungekuwa kwenye top management, sidhan kama jamaa angeendelea kuwa pale... City ukiacha 50/50 defensive mechanism yao, wana advantage ya kukaa na mpira muda mrefu kitu ambacho kinawabeba sana... Mfano juzi kama walipiga about 44 passes kabla ya kufunga, inadhihirisha walivyofit kwenye possessions ukiacha kuweka ukuta.
 
Kabisa mkuu haiwezekani timu icheze defensive na isipossess mpira alafu tutegemee kuwa beki zitatuokoa..... Hata tungempata Varane na koulibally tungefungwa tu maana nao binadamu wanafanya errors ila zinakuwa change kutokana na mchezo wa timu zao ila sisi tunaruhusu wenyewe tushambuliwe alafu tunategemea beki zituokoe.....hata de gea now anaonekana kashuka kiwango something ambacho sio kweli.... Ila tu tunamfanya ashambuliwe sana Mwisho anatunguliwa......
Mou ndo anafanya defence yetu ionekane duni sababu tu anaruhusu timu ishambuliwe dakika zote.....
 
Maisha ya kumuongezea Young mkataba etc hatutatoka mkuu... Ile bekline ni ya kufumua yote... Piga chini smalling, young, jones etc... Kiungo kiimarishwe kidogo then forwards.... Kwa timu ile itatuchukua years kucover up mkuu.. Sometimes unaona kama MoU anahujumiwa lkn unakuta nae anafanya maamuzi ya kipuuzi tu.
 
Mshambuliaji wa DC United ya Marekani Wayne Rooney amesema kuwa bado anaikumbuka timu yake ya zamani, Manchester United na anatamani angemalizia maisha yake ya soka pale Old Trafford, Rooney amekaa Man utd kwa Miaka 13, kabla ya kuhamia Everton kisha kuhamia DC. #KwanzaSpoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…