Kufungwa kawaida tu kimsingi Timu ilikuwa imechoka sana, sababu ya game ya Juve
bro unakosea sasa
Watauzwa wote mwisho wa mdimu. Haswa lukaku ni kama vile kasahau kucheza mpira. Kiwango kimekufa kabisa yaan. japokuwa aliwasababushia penalt lakin individual effort hazijaonekana bado.
Hajui nn cha kufanya kule mbele, hawez miliki mpira, hajui kuji position
Imani yangu ilikuwa kwamba ndoo inaweza baki Spain, hasa kwa Barca... Sema nso kasi yao ya mashaka. Juve hana stamina ya muda ya muda mrefu. City tutampenga kwenye uzoefu ila vinginevyo wanaweza wakapeta sana.
Kwamba miaka 15 as if hiyo brand ya Man Utd ilijengwa kwa miaka 15
Unajua brand ya barca imejengwa kwa miaka mingapi braza? Au ya Madrid, au ya Bayern?
Back to Manchester, United ana ndoo za premier 20, nikumbushe city ana ngapi? Hata akichukua kila mwaka atafikisha 20?
Twende Ulaya, Unafahamu city ana ngapi ... 0 (zero). Unajua United ana ngapi .... 5 (five)
Club bingwa dunia, unajua United ana ngapi, 1.... Je city?
Vipi kuhusu FA, Carling, n.k
Miaka 15 my ass!!!!!!
Lukaku nani atamchukua?
Labda mumgawe bure na mshahara mwendelee kumlipa mpaka mkataba wake uishe.
Nani anataka hasara.
Atolewe bure ligi daraja B. Akacheze na wenzie
Kijana anaamua kujilimbikizia mafanikio anavyotaka mana ndoo za UCL za Liver anazichukua yeyeMna UCL tatu tu kijana.
Halafu Brand miaka michache tu mjomba, Akidominate Ulaya basi kazi kwisha maana wanakua wakifisha brand yenu.Kwa jinsi Pep anavyojua kusajili mwakani au mwaka keshokutwa atakuwa ameshaestablish dominance kama ya Juventus kule serie A
We kazania Brand wakati Liverpool ana UCL kuliko nyinyi lakini hiyo Brand yake wanaijua wachache au inakaribia kufa sasa hivi
Poa bro tuachane na hayaSasa kufungwa ni maajabu kwani hivi Jana pale camp nou kulikuwa na nini
Kweli mkuu inasikitisha sana mimi nilipiga kelele kuhusu Jose ila sahizi nimeamua kutulia kila mtu atapata madhaifu ya timu kwa mda wake.... Ikinachoumiza zaidi ni kuwa hatuna uwezo wa kumfunga city tena tunategemea bahati ila uwezo haupoYani timu imekuwa ya kushinda kibahati bahati,hamna kinachoeleweka.
Ukiwatazama City unaona kabisa hata wakiokoa mpira wanajipanga haraka wanafungua nafasi unakuta kila mchezaji yupo tayari kupokea mpir,njoo sasa kwenye timu yetu.
Lakini pia wao kila mchezaji ni hatari,sisi kwetu Matic anaonesha kushuka kiwango lakini ukitazama bench hamna kitu.
José akiendelea kuwa kocha pale utashangaa hadi Fred anaonekana garasa.
José hadi sasa naamini sio kochamzuri na hili sitaki kumlazimisha mtu kukubali.
Fikiria mtu kama Martial ambaye José amemchelewesha sana angekuwa chini ya Pep angekuwa vipi leo?
Naongezea, Glazers are fools.Tangu siku inaanza nilikuwa sina amani kwa kuamini leo tutadhalilishwa na vijana wa pep,nikajiaminisha kuwa vyovyote matokeo yatakavyokuwa nitaridhika kutokana na tofauti ya ubora wetu na city. Lakini baada ya matokeo nimeumia zaidi kwa kutambua kuwa bado tuna safari ndefu sana kufikia kuchukua ubingwa wa ligi kuu achilia mbali kucheza fainali ya ligi ya mabingwa.
Matokeo hayajanihuzunisha sana kama ambavyo tumekuwa wanyonge mbele ya city ukizingatia uwekezaji wetu na wao hatukupaswa kuwa na tofauti kubwa sana aidha kiuchezaji au mtizamo tunaoingia nao dimbani. Ni dhahiri tangu upangaji wa vikosi vilivyoanza mou hakutegemea pointi 3 kwa city bali alihitaji droo kwanza na point 3 zije kama ziada flani hivi. Angalia mid field yetu ilivyokuwa nzito kutembeza mipira kwenda mbele. Kwa mechi tatu zilizopita tumeshuhudia umuhimu wa mata katika kuichangamsha timu kwa mipira ya kwenda mbele,lakini hofu ya mou imemzidi akamweka huyu mtu nje hadi pale alipoona yuko nyuma kimatokeo.
Kama ambavyo wengi tumeona na kuamini kuwa kukosekana kwa pogba kumechangia matokeo mabaya lakini binafsi sikubaliani na sababu hiyo kwa asilimia nyingi sana. Pogba anakuwa mzuri timu inaposhambulia Ila kwa mpira wa city unahitaji kiungo anayeshambulia na kukaba kwa haraka,na sio pogba anayejivuta vile. Kwa mawazo yangu ili kukabiliana na city yenye wachezaji wanyumbulifu tulihitaji viungo ambao ni attack minded ili kuwatia hofu city wasije wengi langoni kwetu hasa beki zao. Angalia long range alizokuwa anafanya fernandinho kisa tu hakuna mtu wa kumbughudhi. Kama mou alikuwa ni wa kujifunza,Wolverhampton walituonyesha jinsi ya kucheza na city,kupishana. Najua hapa watu watasema hatuna wachezaji wenye ubora wa kupishana na city,he wolves wana kikosi kizuri kuliko united?
Kwa game ya leo,city ni bora kwa mchezaji mmoja mmoja na kimbinu pia walituzidi. Mbali na martial sijaona mchezaji yeyote wa united ambaye anaweza walau kumtoka beki mmoja wa city wakiwa 1x1 ila city wanawatoka wachezaji wa united kirahisi sana. Leo hii no aibu na dhihaka kubwa sana kumuona Felipe Anderson anaichezea westham,Madison anaichezea Leicester, Richarlson anakipoga Everton, wakati sisi tuna lingaard kama namba 10 wetu. Tuna shida katika soko la usajili kama ambavyo mkuu Damushin amekuwa akidai. Saa nyingine huwa najiuliza mou huwa anawafundisha nini hawa wachezaji wetu pale carrington maana mbinu yetu kubwa ya magoli imekuwa ni mipira iliyokufa zaidi. Set up ya mashambulizi imekuwa ni dhaifu mno tena ni hadi adui atuchokoze. Kwa sasa pale EPL hakuna timu tunayoizidi kucheza mpira mzuri kati ya timu zote 19 maana hata Leicester wanaugusa mwingi kuliko sisi.
Nimalizie kwa kusema kwamba kwa mwenendo huu mwakani tujiandae kucheza Europa ligi na nangojea kukutana na akina BATE Borisov ,spartak Moscow na wenzake.
Mniwie radhi wakuu maana nimeandika kwa hasira kidogo maana sioni tumaini kwa hii timu kufikia hapa.
GGMU
Kumbe ukiambiwa makombe Ulaya tafsiri yako ni UCL .... Mkuu makombe ya Ulaya yapo mengi, likiwemo na la UCLMna UCL tatu tu kijana.
Halafu Brand miaka michache tu mjomba, Akidominate Ulaya basi kazi kwisha maana wanakua wakifisha brand yenu.Kwa jinsi Pep anavyojua kusajili mwakani au mwaka keshokutwa atakuwa ameshaestablish dominance kama ya Juventus kule serie A
We kazania Brand wakati Liverpool ana UCL kuliko nyinyi lakini hiyo Brand yake wanaijua wachache au inakaribia kufa sasa hivi
Kweli mkuu inasikitisha sana mimi nilipiga kelele kuhusu Jose ila sahizi nimeamua kutulia kila mtu atapata madhaifu ya timu kwa mda wake.... Ikinachoumiza zaidi ni kuwa hatuna uwezo wa kumfunga city tena tunategemea bahati ila uwezo haupo
Kumbe ukiambiwa makombe Ulaya tafsiri yako ni UCL .... Mkuu makombe ya Ulaya yapo mengi, likiwemo na la UCL
Twende kwenye brand kupotea. Unajua United haijachukua kombe la Premier miaka mingapi? Unajua yupo kwenye "Money League/Brand League" na timu na timu zipi? Yupo mbele ya Madrid, Barca, Bayern n.k. Vipi, timu yako ipo hapo?
Endelea kujidanganya brand ni miaka michache, ukitaka kulijua hilo muulize Abromovich wa Chelsea. Halafu kuifananisha Juve na City ni sawa na kuifananisha Al Ahl ya Misri na Coastal Union ya Tanga. Na kuifananisha na ligi ya Serie A na Premier ni sawa na kufananisha, sory havifananishiki.
It will take 10 decades for city to reach United level, and that if United assume current Aston Villa status for a century.
Swali la kizushi, kwa hiyo unaona Liverpool wamezidiwa na City kutokana na kuweweseka kwa miongo kadhaa?
Ukubwa wa Club ni mafanikio, vipi AC Milan wana brand kubwa sasa hivi?
Kama unaongelea History sawa
Kuzidiwa ujanja mara moja moja ipo kwa kila timu duniani lkn sio kwa mtindo huu wa mou kila game tunacheza kwa presha yani kwetu hatujawai kuingia uwanjan tukawa na asilimia za ushindi moja kwa mojaWatu wamesahau kuwa Pep alimnyanyasa Ferguson kwenye fainali mbili
Sure chief... Lets wait for more good na interesting battles to come.Sasa hivi UEFA iko open, hakuna timu yenye edge kwa zingine, hapa nawaweka timu kama Madrid, Juve, Barca, Man City na Dortmund kwenye kapu la juu, zikifatia Liverpool, PSG, Bayern, Man Utd, Napoli, Atletico, Inter na Lyon kwenye kapu la pili.
Sioni mwenye 40% winning chance.
Jamaa kajinenepea sana, shingo kama paja.. Nadhani ssa anakaribia 120 maana alikuja na 104Labda hivyo, maana hakuna timu inataka Mchezaji mwenye uzito kama wa kina Mark Henry wa WWE.
mwambie Ivi Iyo Miaka 15 Pep Ashafukuzwa Pale CityKwamba miaka 15 as if hiyo brand ya Man Utd ilijengwa kwa miaka 15
Unajua brand ya barca imejengwa kwa miaka mingapi braza? Au ya Madrid, au ya Bayern?
Back to Manchester, United ana ndoo za premier 20, nikumbushe city ana ngapi? Hata akichukua kila mwaka atafikisha 20?
Twende Ulaya, Unafahamu city ana ngapi ... 0 (zero). Unajua United ana ngapi .... 5 (five)
Club bingwa dunia, unajua United ana ngapi, 1.... Je city?
Vipi kuhusu FA, Carling, n.k
Miaka 15 my ass!!!!!!