Swali lako la kitoto ndo mana nimekupuuza sasa mimi ndo mwajiri? Nikufurahishe kwa kukuambia hafai wakat mkurugenz wa timu hana nia ya kumfuta kazi? Ulishiriki kumuajiri sari?Nimeuliza swali unaleta khabari zingine.
Umechanganyikiwa nini??!
Hahaha unaelewa maana ya neno "maoni"Swali lako la kitoto ndo mana nimekupuuza sasa mimi ndo mwajiri? Nikufurahishe kwa kukuambia hafai wakat mkurugenz wa timu hana nia ya kumfuta kazi? Ulishiriki kumuajiri sari?
Timu ipi pale ya kumfunga city? Ngao ya jamii kukawasha kiungo akiwa foden hii manchester united umetokea dakika za refa ukiwa kwako we tulia tuYan uyo wala asikupe tabu, mimi nitamkalisha kwa niaba yako ..maana wewe na Yule Klopp mumeshindwa kabisa. Hivyo iyo kazi tumuachie Sarri; ni ndogo sana ataimudu.!
Mi huwa sitoagi maoni ya kusadikika fuatilia post zangu hiyo nguvu ya kujichosha sina wenye maoni ni bodi ya timu wewe uko huku tz maoni yako yanamfikiaje ed woordward? Wala sijakurupuka na kupanic nipo hivyo kocha akifukuzwa poa akibaki poa sasa hadi muda huu timu ipo ya 8 umewah kusikia maoni ya mashabik yameweka kibarua cha mourinho rehani?Hahaha unaelewa maana ya neno "maoni"
Au umepaniki bro, basi tufanye Man united kashinda.
Mkifungwa ndio huwa mnakumbuka kuna kufungwa. Wakifungwa wenzenu wabovu.Ngumu sana kuhama thread kisa unafungwa? Nani asie fungwa? Barca nyumban leo kala chuma nne toka kwa betis mpira upo hivyo
Ile game wachezaji muhimu hawakuwepo. Unachotakiwa kutambua ni kwamba kipigo cha man city kipo pale pale.Timu ipi pale ya kumfunga city? Ngao ya jamii kukawasha kiungo akiwa foden hii manchester united umetokea dakika za refa ukiwa kwako we tulia tu
Ushawahi kuona nimeandika timu fulani mbovu? Weka hapa hicho ulichopostMkifungwa ndio huwa mnakumbuka kuna kufungwa. Wakifungwa wenzenu wabovu.
Manure fans bana mnachekesha sana.
Kwani city alichezesha wote?Ile game wachezaji muhimu hawakuwepo. Unachotakiwa kutambua ni kwamba kipigo cha man city kipo pale pale.
Liverpool bana na klopp kashinda makombe mengi ya kumfunga pep zaidi ya makocha wote naona ana ndoo kibaoPep Guardiola has now beaten Jose Mourinho (11) more times than he has beaten any other manager in his career (incl. games on penalties).
The Special One's Special enemy.
Mourinho akishinda mbona hizi post za copy and paste huwa haziji?Pep Guardiola has now beaten Jose Mourinho (11) more times than he has beaten any other manager in his career (incl. games on penalties).
The Special One's Special enemy.
Inaonyesha ni kwa kiasi gani umekata tamaa mkuu.Mi huwa sitoagi maoni ya kusadikika fuatilia post zangu hiyo nguvu ya kujichosha sina wenye maoni ni bodi ya timu wewe uko huku tz maoni yako yanamfikiaje ed woordward? Wala sijakurupuka na kupanic nipo hivyo kocha akifukuzwa poa akibaki poa sasa hadi muda huu timu ipo ya 8 umewah kusikia maoni ya mashabik yameweka kibarua cha mourinho rehani?
Droo uliyoniombea imekataaSterling assist gani umeona aisee pole mdau usitolee mfano wa barca huo s ushabk ni ushangiliaj sem ni moja ya matokeo
Mkuu kwa kitendo mlichokifanya Mungu anawaona.!
Mi sijakata tamaa mkuu ila suala la maoni kuhusu kocha mshabiki wa kawaida ni kujidanganya mwaka wa 3 mourinho yupo je hamna wale mourinho out?Inaonyesha ni kwa kiasi gani umekata tamaa mkuu.
Kweli mkuu smalling hakui kiwango ukiangalia leo mipira ya juu fellain katusaidia sana kuokoa
Sorry labda nimekosea ku quote ila sikumaanisha kui direct hiyo post kwako kaka. Nilitaka iwafikie Man U wote na sio wewe as a personUshawahi kuona nimeandika timu fulani mbovu? Weka hapa hicho ulichopost