Licha ya haya ila ukweli unabaki Manu ni kubwa mara mia ya Mancity. Kuifikia historia ya Manu, mancity wanahitaji karne nzima sasa sijui mpaka hapo Manu watakuwa wamekaa tu. Kwa sasa ni kelele tu za majirani, msimu wao ila jiji la Manchester ni jekundu, anayetaka kubisha abishe ila ndio ukweli.