Manu akili hakuna hadi board wenyewe. Tangu wanamsajiri Mourinho tulisema wameuza baiskeli wakanunua pump. Van Gaal angekuwepo tangu mwaka juzi, tungekuwa tunacheka na nyavu.Mkuu tusijifariji kwa mpira wa Jose hata akipewa miaka 50 mbele ya hii City tutazidi kupotezwa.
Mahaba niueSo far so good sijaona alichofanya city
Man bado tupo vzr
kucheka sio tatizo tatizo ni kwamba team ikizid kudidimia na yeye pia anapoteza hadhi ukizingatia mpira anaoceza!Pogba yuko ana cheeka (ki moyo moyo)
Usiniuliz kwa nin
Kumbe kweli ulihama timu...Kwenye Ile stick thread ya nimeacha kuishabikia Arsenal. Na huku kipigo tu.Jose ni tatizo kubwa kuliko tunavyofikiri.
UnatakajeMahaba niue
Defence ilikuwa poa leo tatizo nimeliona k2a kocha huwez kupanga viungo vile hadi unajiuliza lingard mbele ya fred? Pogba hayupp fred anakaaje bench?Defense UNITED ilikuwa ya kiboya sana leo.
Amgepangwa fred pia ungekuja na sababu nyingine.Defence ilikuwa poa leo tatizo nimeliona k2a kocha huwez kupanga viungo vile hadi unajiuliza lingard mbele ya fred? Pogba hayupp fred anakaaje bench?
Unatakaje
Unapapaswa nn?
Defence ilikuwa poa leo tatizo nimeliona k2a kocha huwez kupanga viungo vile hadi unajiuliza lingard mbele ya fred? Pogba hayupp fred anakaaje bench?
Sijapata kuona mpira hamna kukosoa mbinu zikifeli kwani wewe huwezi kuona mapungufu?Amgepangwa fred pia ungekuja na sababu nyingine.
Tukubali kuwa Manu sio peke yake yenye haki ya kushinda na kuchukua vikombe, mambo hubadilika.
Hizi post tukishinda mbona haziji? Ulikuwa wapi ktk ule ushindi wa juve mnafufuka tukifungwa haters banaMtashikana uchawi mwaka huu hadi mfikie hatua ya kukubali kua hamjui mpira zaid ya kelele tu
Amgepangwa fred pia ungekuja na sababu nyingine.
Tukubali kuwa Manu sio peke yake yenye haki ya kushinda na kuchukua vikombe, mambo hubadilika.
Nilidhani tunajadili mechi ya leo kumbe unazungumzia historia. Yes Manure iko juu ...Licha ya haya ila ukweli unabaki Manu ni kubwa mara mia ya Mancity. Kuifikia historia ya Manu, mancity wanahitaji karne nzima sasa sijui mpaka hapo Manu watakuwa wamekaa tu. Kwa sasa ni kelele tu za majirani, msimu wao ila jiji la Manchester ni jekundu, anayetaka kubisha abishe ila ndio ukweli.
Ndio raha yenyewe ya mpira hiyoHizi post tukishinda mbona haziji? Ulikuwa wapi ktk ule ushindi wa juve mnafufuka tukifungwa haters bana
Hizi post tukishinda mbona haziji? Ulikuwa wapi ktk ule ushindi wa juve mnafufuka tukifungwa haters bana