Wametuzidi Leo, hongera yako. Inabidi mechi zinazokuja yasifanyike makosa kabisa ili angalau tufike nafasi ya tano na kabla ya Kristmas tuingie top four, vinginevyo hali itakuwa ngumu.
Issue usajili mkuu, huwezi tegemea makubwa kwa namba tisa ya Rashford kisha Lukaku nae kaflop sasa hivi. Lukaku sio striker wa kuiletea MUFC mafanikio makubwa na Rashford nae kadhalika.
City wameinvest kwa kocha bora duniani na wakampa hela anavyotaka, ni ngumu kumzuia asichezee mpira,,,,,sasa hivi mmebaki na winga ya kushoto ya Martial kama ndio sehemu ya matumaini basi.