Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U wanau chungu wa kulipiza kile kibano cha goli 6...

Hapo ni endapo refa hataaamua kumtoa mchezo wa Man U ili asawazishe ujinga wa kumtoa Kompany.

Wachezaji kadhaa wa Man U wana yellows.
 
Roberto Mancini genius na ana utajiri wa talented players, ni namna tu ya kuzichanga , sasa gem ndo litakuwa tamu...

Hadi sasa Man C 1-Man U 3
 
Naona Pensioneer Scholes anajiandaa kuingia!
 
Man U wanau chungu wa kulipiza kile kibano cha goli 6...

Hapo ni endapo refa hataaamua kumtoa mchezo wa Man U ili asawazishe ujinga wa kumtoa Kompany.

Wachezaji kadhaa wa Man U wana yellows.

Carrick anatembeza buti kinoma refa kauchuna tu.
 
Kazi ya Scholes mnaiona khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
So far mechi imebadilika ila lazima goli lipatikane lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…