Elewa kuna kitu kinaitwa Form mkuu..lingard kwa sasa bado hajarudi mchezoni.Lingard bado yupo vizuri zaidi ya dogo Rashford
Movement zake uwanjani zinawapa space akina Sanchez et. al.
Lakini pia ni mchafuaji wa mipango ya mpinzani (kwa City ndio atafaa zaidi sababu wanaabudu kumiliki mpira)
Dogo Rashford anacheza vizuri akitokea sub. Halafu united huwa hawachezi vizuri siku Dogo Martial na Rash wakianza pamoja, kwanza wote wachoyo na utoto juu
Labda unachanganya form ya Martia na RashfordElewa kuna kitu kinaitwa Form mkuu..lingard kwa sasa bado hajarudi mchezoni.
Labda unachanganya form ya Martia na Rashford
Rashford kwa sasa ana form gani mkuu
By any means necessary.Kwahy leo tuseme Man U anashinda?
Aaha, anything can happenMan u kuifunga man city ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Aaha, anything can happen
Sidhani,na hawa akina Liverpool na Chelsea wakishinda ndio watamtia kichaa kabisa.
Kwa hii trend yetu ya kutokea nyuma na kushinda,ikitokea wameanza kutufunga watalazimisha watufunge tatu za mapema.
Leo kazi ni nzito!
Km Pogba hayupo alafu Asianze Mata maana yake hatutegemei kutengeneza nafasi.
Wanadai starting XI hii imevuja.
De Gea, Young, Smalling, Lindelof, Shaw, Matic, Herrera, Fellaini, Lingard, Martial, Sanchez.
Mechi ngumu hii, ugumu wake unachagizwa na form ya City versus hustling ya MUFC
Na kumkosa Pogba ni pigo same kama wao walivyomkosa DeBruyne
Km Pogba hayupo alafu Asianze Mata maana yake hatutegemei kutengeneza nafasi.
Uhatari wao ni pale MUFC itakapowaacha wamiliki mpira muda wote,kutakuwa na kadi nyekundu.