Chansi anapata ngapi? Hivi kwa mfumo wa city nani anashindwa kufunga goli kama anaaminiwa kuingia kwenye 18 kufuatana na maelezo ya pep? Huyo anaenda kufunga anabutua nyasi????Ww ndio unayeanzisha ya sane jamaa anaongelea ubora wake katika kumalizia na hata idadi ya goal zipo waz kwa nn tunakuwa wagumu kukubali hata km ana ubovu lakin hauonekan kwa anachokifanua
Jamaa limejinenepea ovyo sana...na pia hata mwili wake hawezi kuutumia now
Lukaku amtazame Rondon anavyotumia limwili lake kulazimisha magoli na afanye hivyo kesho.
jiulize mbona hafanyiw sub na kesho yupo first kaza ubish jad yako im cfc fan kwenye ikwl nakaa ht km n timu yanguChansi anapata ngapi? Hivi kwa mfumo wa city nani anashindwa kufunga goli kama anaaminiwa kuingia kwenye 18 kufuatana na maelezo ya pep? Huyo anaenda kufunga anabutua nyasi????
Lukaku mwenyewe anamaliza dakika 90 ni mzur sana au?jiulize mbona hafanyiw sub na kesho yupo first kaza ubish jad yako im cfc fan kwenye ikwl nakaa ht km n timu yangu
kivyenu maan hamna backup ya uhakika s kma city'sLukaku mwenyewe anamaliza dakika 90 ni mzur sana au?
Umekuja sasa nliposema mfumo ulikuwa unapayuka nini? Martial na sanchez sio back up ya lukaku?kivyenu maan hamna backup ya uhakika s kma city's
Ebu ambavyo una mhb na si mshabiki mzur kwel backup yenu n sawa n cty ambayo ukitoa bado umeingiza yule x2Umekuja sasa nliposema mfumo ulikuwa unapayuka nini? Martial na sanchez sio back up ya lukaku?
Dogo sterling katoka kwenye ligi ana goli 18 kaenda kombe la dunia hata goli la offside hana katika mech 42 za timu ya taifa ana goli 4 mkiambiwa vitu msiwe mnakurupukia nilikuwa naenda na nyie taratibu tu yule kupata namba city ni utaifa pep hana namna lazima amtengenezee mazingira
Hah kombe l dunia unapimia mchezaj wap mes de gea salah n.k kwenye world cupUmekuja sasa nliposema mfumo ulikuwa unapayuka nini? Martial na sanchez sio back up ya lukaku?
Dogo sterling katoka kwenye ligi ana goli 18 kaenda kombe la dunia hata goli la offside hana katika mech 42 za timu ya taifa ana goli 4 mkiambiwa vitu msiwe mnakurupukia nilikuwa naenda na nyie taratibu tu yule kupata namba city ni utaifa pep hana namna lazima amtengenezee mazingira
Nini hiki umeandika? Kuna mahali pameandikwa city na united zinafanana back up? Unatengeneza ki topic chakoEbu ambavyo una mhb na si mshabiki mzur kwel backup yenu n sawa n cty ambayo ukitoa bado umeingiza yule x2
Uli ucheze timu ya taifa lazima kwenye club uwe bora makali yako yanatakiwa kuhamia kuleHah kombe l dunia unapimia mchezaj wap mes de gea salah n.k kwenye world cup
Naona kuanzia watu wengi unawatolea mifano via united utadhan imekamilika mzee badilika ushabiki wa jiv sio kisa tu ni mpinzan wako kakuzid kitu baaas unamkazia kwamapungufu machach waz kwamba kabisa makocha wanaona mbali kwamba mtu anatoshea mfumo wake n dhahir akibak anasaidia ushind si lazima afunge ila ana pressNini hiki umeandika? Kuna mahali pameandikwa city na united zinafanana back up? Unatengeneza ki topic chako
Ni lazima afunge ila assist mbili kwa kane zilitoka wap nenda google njoo ba attachmentUli ucheze timu ya taifa lazima kwenye club uwe bora makali yako yanatakiwa kuhamia kule
Salah unajua kabisa kaenda mgonjwa wa bega kacheza akiwa hovyo hujui???? Na bado katupia goli 2
Mess katupia goli 3
De gea bek zote zimemuangusha
Haya sterlinga kafunga mangapi?
Nani kakwambia timu imekamilika bado unatengeneza vi topic vyako mjadala ulikuwa sane na sterling sijui hayo mengine unayatoa wap mbona unahangaika? Vingine unvyoandika hata sivielewiNaona kuanzia watu wengi unawatolea mifano via united utadhan imekamilika mzee badilika ushabiki wa jiv sio kisa tu ni mpinzan wako kakuzid kitu baaas unamkazia kwamapungufu machach waz kwamba kabisa makocha wanaona mbali kwamba mtu anatoshea mfumo wake n dhahir akibak anasaidia ushind si lazima afunge ila ana press
Hata lingard ana goli na assist ya nini hayo???Ni lazima afunge ila assist mbili kwa kane zilitoka wap nenda google njoo ba attachment
All the best man u