Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa mbadala wa pogba unaifikiri ni nani? Maana usiishie tu kunyosha vidole unatakiwa kutoa mbadala...kwasasa anasaidia kwa kiasi fulani sio bure,ushindi tunaoupata ana mchango wake pia,
Sasa mimi ndio Manager wa Man u. Nimesema mimi Liver nimepita tu kuwapa hongera na maoni yangu ila kama wenyewe Man fans mko happy sawa tu maana team yenu mimi wacha nikapambane na hali zetu Liver
 
Sasa mimi ndio Manager wa Man u. Nimesema mimi Liver nimepita tu kuwapa hongera na maoni yangu ila kama wenyewe Man fans mko happy sawa tu maana team yenu mimi wacha nikapambane na hali zetu Liver
Pale liver ndiyo mnasikitisha sana,yani liver akibanwa vizuri mo salah na mane basi hakuna magoli angalia msimu huu mlivyo ishiwa pumzi mapema pale juu mtapisha tu
 
Pale liver ndiyo mnasikitisha sana,yani liver akibanwa vizuri mo salah na mane basi hakuna magoli angalia msimu huu mlivyo ishiwa pumzi mapema pale juu mtapisha tu
Nyie watani zetu mnakazi, Mimi sikuja hapa kujitapa na Liver kuwapa hongera na kuchangia. labda kuna kitu nataka ujuwe, mimi mpenzi mkubwa wa EPL na kwenye Champion league na support team zote za EPL labda itokee wanacheza na Liver. hongereni ila msianze kutembea vifua mbele mpira wa jana wote tumeona
 
Hiv kuna mech gani Mourinhno alishawahi kufungwa mara mbili na timu moja? Mana nimeona jana kwa juve kala kipigo yy juve, man city msimu uliopita alipigwa na Mou huyu huyu baada ya kushinda mech za kwanza, liver pia, arsenal pia. Hata Laliga na Serie A pia. Epl ndy usiseme. Nahitaji takwimu zaid kama ni kweli hapigwi mara mbili!!
 
Hamna.
 
Lindelof vs Juventus
1. Amekoa mipira 8 ya hatari, idadi kubwa kuliko beki yeyote wa manchester united
2. Pasi asilimia 89 zaidi kuliko beki yeyote wa Manchester United.
3. Tackling 2 zaidi kuliko beki yeyote wa Manchester United.
 
Asee jamaa anazidi kuimalika tu match to match. Akipata mkoba kiongozi, back yetu itakuwa solid sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…