Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bado ntasimama na mourinho apewe majembe yake.
Sure!

Engine tunazotegemea zinatuangusha sana kwy final pass....Pogba katuangusha sana lkn watu wanamuona Mourinho tu.

Lukaku amesakamwa weee....matokeo yake huyo Sanchez sasa mumemuona.

Lingard alikua mzururaji tu.

Juve wakipoteza mpira wanakaba wote kwa nguvu toka nyuma. Hawarembi mpira mpaka wanyang'anywe kama pogba na mbwembwe zake. Pogba anapoteza alafu anatroti tu wala hakimbizi matokeo yake presha inawazidia kina Linderof.
 
Anatoa pole kinyonge sana mkuu Mentor tatizo nini? Yani hata uefa nivulunde? Kunjua moyo mkuu.
 
Naam faulu tamu sana kapiga.

Kwakweli sisi Chelsea tunafarijika sana kuona vijana wetu wakiipigania timu yenu pendwa man united....
 


You got one thing right...nimefurahia goli la Mata.

Kocha wa Juve atakuwa anajuta kuchelewa kumweka Mandzukic. Dogo Cuadrado alishachoka long na machenga yake yasiyo na mantiki.

Kuhusu vyombo tulivyokodi nahisi tuviache tu hapa store maana weekend si mbali. Huyu mgonjwa bado tia maji tia maji.
 
Sikutamani kumuona mandzukic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…