Wajua_kwamba.....
Andy Cole mchezaji wa zamani wa Manchester United na Newcastle United ndiye mchezaji wa kwanza katika ligi kuu Uingereza kufunga magoli matano katika mechi moja
Uhamisho wake uliovunja rekodi kutoka Newcastle, katikati ya msimu wa 1994/5 uliigharimu Manchester £ 6M + Keith Gillespie aliyethaminishwa kwa kiasi cha pauni milioni 1.
Cole aliweka rekodi kama mfungaji wa magoli mengi katika premier league 4.2.1995 Manchester ilipoishinda Ipswich Town
Wachezaji wengine waliobahatika kufikia rekodi ya Cole.(Alan Shearer,Jerman Defoe,Dimitar Berbatov na Sergio Kun Aguero)