eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Ndo nini hii?Yani Tayari umeshkuwa Katika Kundi moja na Malafyale na Ollachuga Oc.
Mdogo wamejipiga Ban wengi hapa kama wewe! Endelea hivyohivyo Kuzunguka Kila uzi uone January ili tuone ujasiri wako.
HahahahahahahahahaLukaku stats Vs Juventus
Goals 0
Shoot 0
Jasho lita 40
Hahaha wanaishiwa nguvu na wanakufa kabisa.Mnapoteza nguvu nyingi kutoa sare na chelsea
Mnarudi Old Trafford mnaishiwa nguvu na kufa kabisa
Poleni wakuu cute b, radika, everlenk na wengine wengi humu jukwaani
Mbona tunatishana, tenaYani Tayari umeshkuwa Katika Kundi moja na Malafyale na Ollachuga Oc.
Mdogo wamejipiga Ban wengi hapa kama wewe! Endelea hivyohivyo Kuzunguka Kila uzi uone January ili tuone ujasiri wako.
Mwaka wa ngap huu mnautafuta mpira mzuri? Tatizo ni mbinu za mwalimu ,jamani mnaona mpira anaocheza napoli? hii timu ikichukuliwa na kuja kuwa man utd naamini tutaanza kufurahi.
cb wao anaweza kucheza kiungo chetu nafasi ya pogba na akatupa matokeo mazuri zaidi.
ina maana sisi tumeshindwa kusuka timu kama hii kwa pesa tuliyonayo?
MOUT!
Kama unai?Anatakiwa aje kocha ambae falsafa yake ya kwanza ni attacking football
Kama unai,allegri,, kocha ambae hajashinda kila kitu kweny sokaKama unai?
Umri wake ndio tatizo mou hawezi kumuamini kirahisi, si unajua jamaa anapenda wazee.RB tumenunua tunaweka kabatini.
Wasiwasi wangu ni kwamba hata tungempata Toby bado angekaa kabatini msimu mzima.
jamani mnaona mpira anaocheza napoli? hii timu ikichukuliwa na kuja kuwa man utd naamini tutaanza kufurahi.
cb wao anaweza kucheza kiungo chetu nafasi ya pogba na akatupa matokeo mazuri zaidi.
ina maana sisi tumeshindwa kusuka timu kama hii kwa pesa tuliyonayo?
MOUT!
Ancelot ni kocha mzuri lakini kuchukua uefa champions na timu hii Napoli ni uongokocha ni ancelot anajua nini anataka haswa champions league
Hivi mbona Alex Ferguson aliweza sana kutupa furaha kipindi chake kuliko hawa warithi wake je hawa warithi wanakosea wapi