Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 24, 2018 #94,441 nguvu said: Tatizo la arsenal anacheza alhamisi na alhamisi wanacheza rejects wa jumanne na jumatano Click to expand... Endelea kukaa huko huko mtaa wa 10
nguvu said: Tatizo la arsenal anacheza alhamisi na alhamisi wanacheza rejects wa jumanne na jumatano Click to expand... Endelea kukaa huko huko mtaa wa 10
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,068 Reaction score 16,381 Oct 24, 2018 #94,443 Man u bado, bado sana. CB, RW,RB,DM,CF na orodha inaendelea ya watu tunaowhitaji. Na linabaki swali, je tunawezakupata watu sahihi katika nafasi hizo?
Man u bado, bado sana. CB, RW,RB,DM,CF na orodha inaendelea ya watu tunaowhitaji. Na linabaki swali, je tunawezakupata watu sahihi katika nafasi hizo?
Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,008 Oct 24, 2018 #94,444 M kathias said: Man u bado, bado sana. CB, RW,RB,DM,CF na orodha inaendelea ya watu tunaowhitaji. Na linabaki swali, je tunawezakupata watu sahihi katika nafasi hizo? Click to expand... Wengine inabidi kuwatengeneza wengine wanunuliwe
M kathias said: Man u bado, bado sana. CB, RW,RB,DM,CF na orodha inaendelea ya watu tunaowhitaji. Na linabaki swali, je tunawezakupata watu sahihi katika nafasi hizo? Click to expand... Wengine inabidi kuwatengeneza wengine wanunuliwe
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,053 Reaction score 23,669 Oct 24, 2018 #94,445 AROON said: Endelea kukaa huko huko mtaa wa 10 Click to expand... Kumbe liver iko mtaa wa kumi sikufahamu hilo
AROON said: Endelea kukaa huko huko mtaa wa 10 Click to expand... Kumbe liver iko mtaa wa kumi sikufahamu hilo
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,481 Reaction score 27,185 Oct 24, 2018 #94,446 AROON said: UKITOKA KUANGALIA SEX FOOFBALL YA ARSENAL HLF UKAENDA KUANGALIA PIRA BOVU KABISA LA MAN U UNAKUFA KABISA Click to expand... Yani Tayari umeshkuwa Katika Kundi moja na Malafyale na Ollachuga Oc. Mdogo wamejipiga Ban wengi hapa kama wewe! Endelea hivyohivyo Kuzunguka Kila uzi uone January ili tuone ujasiri wako.
AROON said: UKITOKA KUANGALIA SEX FOOFBALL YA ARSENAL HLF UKAENDA KUANGALIA PIRA BOVU KABISA LA MAN U UNAKUFA KABISA Click to expand... Yani Tayari umeshkuwa Katika Kundi moja na Malafyale na Ollachuga Oc. Mdogo wamejipiga Ban wengi hapa kama wewe! Endelea hivyohivyo Kuzunguka Kila uzi uone January ili tuone ujasiri wako.
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,481 Reaction score 27,185 Oct 24, 2018 #94,447 M kathias said: Man u bado, bado sana. CB, RW,RB,DM,CF na orodha inaendelea ya watu tunaowhitaji. Na linabaki swali, je tunawezakupata watu sahihi katika nafasi hizo? Click to expand... Mkuu Kwani Matic Kwenye DM sio mtu sahihi?
M kathias said: Man u bado, bado sana. CB, RW,RB,DM,CF na orodha inaendelea ya watu tunaowhitaji. Na linabaki swali, je tunawezakupata watu sahihi katika nafasi hizo? Click to expand... Mkuu Kwani Matic Kwenye DM sio mtu sahihi?
UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Oct 24, 2018 #94,448 Raha ya mpila ndio hii King Ngwaba said: Yani Tayari umeshkuwa Katika Kundi moja na Malafyale na Ollachuga Oc. Mdogo wamejipiga Ban wengi hapa kama wewe! Endelea hivyohivyo Kuzunguka Kila uzi uone January ili tuone ujasiri wako. Click to expand...
Raha ya mpila ndio hii King Ngwaba said: Yani Tayari umeshkuwa Katika Kundi moja na Malafyale na Ollachuga Oc. Mdogo wamejipiga Ban wengi hapa kama wewe! Endelea hivyohivyo Kuzunguka Kila uzi uone January ili tuone ujasiri wako. Click to expand...
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,300 Reaction score 46,749 Oct 24, 2018 #94,449 Nokia83 said: Click to expand... Mkuu huwa nacheki hizi review..jamaa wanakuwaga na hasira kweli kweli
Nokia83 said: Click to expand... Mkuu huwa nacheki hizi review..jamaa wanakuwaga na hasira kweli kweli
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 24, 2018 #94,450 Lukaku stats Vs Juventus Goals 0 Shoot 0 Jasho lita 40
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,068 Reaction score 16,381 Oct 24, 2018 #94,451 King Ngwaba said: Mkuu Kwani Matic Kwenye DM sio mtu sahihi? Click to expand... matic timu inapoloose possession yuko slow sana. Pia,Matic sio wa kumtegemea misimu miwili, mitatu inayokuja.
King Ngwaba said: Mkuu Kwani Matic Kwenye DM sio mtu sahihi? Click to expand... matic timu inapoloose possession yuko slow sana. Pia,Matic sio wa kumtegemea misimu miwili, mitatu inayokuja.
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 24, 2018 #94,452 Nawakumbusha baada ya Everton Bournemouth alafu Juve tena Mchana mwema.ndugu zangu
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 24, 2018 #94,453 Arsenal; Emeryball Chelsea; Sarriball City; Tiki taka Liverpool:Gegen pressing Manchester United: marathon football, Shaolin soccer, Park the bus, anywhere belle face
Arsenal; Emeryball Chelsea; Sarriball City; Tiki taka Liverpool:Gegen pressing Manchester United: marathon football, Shaolin soccer, Park the bus, anywhere belle face
UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Oct 24, 2018 #94,454 AROON said: Nawakumbusha baada ya Everton Bournemouth alafu Juve tena Mchana mwema.ndugu zanguView attachment 909101 Click to expand...
AROON said: Nawakumbusha baada ya Everton Bournemouth alafu Juve tena Mchana mwema.ndugu zanguView attachment 909101 Click to expand...
UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Oct 24, 2018 #94,455 Kisu cha Ngariba yuko wapi
L Life starts at 45 JF-Expert Member Joined Sep 22, 2015 Posts 1,000 Reaction score 998 Oct 24, 2018 #94,456 nguvu said: Tatizo la arsenal anacheza alhamisi na alhamisi wanacheza rejects wa jumanne na jumatano Click to expand... jiangalie usije na ww ukawa reject wa round 16 ukaendako
nguvu said: Tatizo la arsenal anacheza alhamisi na alhamisi wanacheza rejects wa jumanne na jumatano Click to expand... jiangalie usije na ww ukawa reject wa round 16 ukaendako
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,198 Reaction score 28,080 Oct 24, 2018 #94,457 M kathias said: Man u bado, bado sana. CB, RW,RB,DM,CF na orodha inaendelea ya watu tunaowhitaji. Na linabaki swali, je tunawezakupata watu sahihi katika nafasi hizo? Click to expand... RB tumenunua tunaweka kabatini. Wasiwasi wangu ni kwamba hata tungempata Toby bado angekaa kabatini msimu mzima.
M kathias said: Man u bado, bado sana. CB, RW,RB,DM,CF na orodha inaendelea ya watu tunaowhitaji. Na linabaki swali, je tunawezakupata watu sahihi katika nafasi hizo? Click to expand... RB tumenunua tunaweka kabatini. Wasiwasi wangu ni kwamba hata tungempata Toby bado angekaa kabatini msimu mzima.
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,300 Reaction score 46,749 Oct 24, 2018 #94,458 lukesam said: RB tumenunua tunaweka kabatini. Wasiwasi wangu ni kwamba hata tungempata Toby bado angekaa kabatini msimu mzima. Click to expand... Dalot kwa nini hapewi nafasi acheze??..Hata matic kaanza kuchoka
lukesam said: RB tumenunua tunaweka kabatini. Wasiwasi wangu ni kwamba hata tungempata Toby bado angekaa kabatini msimu mzima. Click to expand... Dalot kwa nini hapewi nafasi acheze??..Hata matic kaanza kuchoka
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,198 Reaction score 28,080 Oct 24, 2018 #94,459 Darmian said: Dalot kwa nini hapewi nafasi acheze??..Hata matic kaanza kuchoka Click to expand... Ndio uone jinsi timu yetu ina tatizo. Dalot kacheza mechi moja vizuri,zilizofuata zote anaangalia kutokea jukwaani. Hao akina Fred wanacheza mechi moja,inayofuata bench,watajiamini lini?
Darmian said: Dalot kwa nini hapewi nafasi acheze??..Hata matic kaanza kuchoka Click to expand... Ndio uone jinsi timu yetu ina tatizo. Dalot kacheza mechi moja vizuri,zilizofuata zote anaangalia kutokea jukwaani. Hao akina Fred wanacheza mechi moja,inayofuata bench,watajiamini lini?
UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Oct 24, 2018 #94,460 Mnavyolialia mnanikumbusha mbali