Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Turin kule man akifa, basi mechi na Valencia itakuwa kama fainali na akipigwa tu round ya pili atadondokea kwenye FUTUHI.
 
😂😂😂 ww mwenyewe unajua kabisa makombe yenye heshma ni EPL na UEFA hayo ndo makombe utakayo kutana na kikosi cha kwanza. Hayo huwez kuyachukua nakuapia utaishia kusindikiza wanao jua
 
Naona mourinho kaishapata 11 yake...bt me niwe mkweli,pale toa Mata weka Fred alafu waache wacheze.
Tatizo la fred ni defencive. Unamtoa kiungo mshambuliaji unamuweka kiungo mkabaji
 
Lukaku anazibia riziki wenzie, Forward wangewekwa watu watatu tu. 9 acheze Rashford, 11 acheze Martial na 7 acheze Sanchez. Jamaa ukiacha Aerial duels hamna kitu kwa sasa hivi
Lukaku yuko pale kwa fadhila za kocha tu. Ila ukweli ni kuwa man u wakisajili kocha mpya lukaku atauzwa
 
Lukaku anasababisha pale mbele kusiwe na fluidity...jamaa limekuwa lizito,kujiposition hajui,,yaani ni hasara tu..tunaitaji straiker mwingine aisee

Na pale nyuma hakuna kiongozi mzuri..ata lindelof angekuwa anacheza na beki ambaye ni kiongozi kama VVD na wengine wengi still bado angedeliver kitu..smalling yupo kimya tu
 
Mu kama wanamidomo sana kama single mothers...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…