lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Oct 23, 2018 #94,381 Konaball said: Kipenzi cha kocha yeye na Ashley Young kibongo bongo tungesema kuna kitu Click to expand... Mambo anayofanya akiyafanya Martial atakaa bench mpaka anajuta.
Konaball said: Kipenzi cha kocha yeye na Ashley Young kibongo bongo tungesema kuna kitu Click to expand... Mambo anayofanya akiyafanya Martial atakaa bench mpaka anajuta.
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,860 Reaction score 39,596 Oct 23, 2018 #94,382 De Gea kazipunguza leo.
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Oct 23, 2018 #94,383 Ili jukwaa tumekuwa wazito kuchangia kama foward wetu Lukaku
fuentte JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 3,210 Reaction score 9,206 Oct 23, 2018 #94,384 Konaball said: Ili jukwaa tumekuwa wazito kuchangia kama foward wetu Lukaku Click to expand... tunafanya analysis kwanza
Konaball said: Ili jukwaa tumekuwa wazito kuchangia kama foward wetu Lukaku Click to expand... tunafanya analysis kwanza
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Oct 23, 2018 #94,385 Na wenzie wanamtegea, anacheza mwenyewe uwanjan joseph1989 said: De Gea kazipunguza leo. Click to expand...
Na wenzie wanamtegea, anacheza mwenyewe uwanjan joseph1989 said: De Gea kazipunguza leo. Click to expand...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,112 Reaction score 1,249,108 Oct 23, 2018 #94,386 Full time coming soon
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Oct 23, 2018 #94,387 radika said: Huyo dogo ni mpuuzi anaangalia kufeli kwa mourinho kumtumia anafikir pogba ni wakawaida ajiulize kwa nini france anakamua? Click to expand... Apo France kuna Kante Ngolo, Matuid, ...
radika said: Huyo dogo ni mpuuzi anaangalia kufeli kwa mourinho kumtumia anafikir pogba ni wakawaida ajiulize kwa nini france anakamua? Click to expand... Apo France kuna Kante Ngolo, Matuid, ...
Bhagavan JF-Expert Member Joined Oct 28, 2017 Posts 2,005 Reaction score 2,893 Oct 23, 2018 #94,388 Laiti kama ningelikuwa ni mchezaji wa manchester United basi kuna masokwe wawili nisingekuwa nawapa pasi abadan asilani
Laiti kama ningelikuwa ni mchezaji wa manchester United basi kuna masokwe wawili nisingekuwa nawapa pasi abadan asilani
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Oct 23, 2018 #94,389 radika said: Jiulize madrid na barcelona kwa nini hawajaleta ofa ya hazard? Click to expand... Wewe hujui Barca hadi umtiti anacheza..
radika said: Jiulize madrid na barcelona kwa nini hawajaleta ofa ya hazard? Click to expand... Wewe hujui Barca hadi umtiti anacheza..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,112 Reaction score 1,249,108 Oct 23, 2018 #94,390 full time man u 0 vs Juventus 1
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Oct 23, 2018 #94,391 Bhagavan said: Laiti kama ningelikuwa ni mchezaji wa manchester United basi kuna masokwe wawili nisingekuwa nawapa pasi abadan asilani Click to expand... Pole sana mkuu,hii timu inatia hasira sana. Nafikiri miongoni mwao ni kipenzi cha Mou Lukaku.
Bhagavan said: Laiti kama ningelikuwa ni mchezaji wa manchester United basi kuna masokwe wawili nisingekuwa nawapa pasi abadan asilani Click to expand... Pole sana mkuu,hii timu inatia hasira sana. Nafikiri miongoni mwao ni kipenzi cha Mou Lukaku.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,112 Reaction score 1,249,108 Oct 23, 2018 #94,392 Akili za kindezi kuita wenzio masokwe Bhagavan said: Laiti kama ningelikuwa ni mchezaji wa manchester United basi kuna masokwe wawili nisingekuwa nawapa pasi abadan asilani Click to expand...
Akili za kindezi kuita wenzio masokwe Bhagavan said: Laiti kama ningelikuwa ni mchezaji wa manchester United basi kuna masokwe wawili nisingekuwa nawapa pasi abadan asilani Click to expand...
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,179 Reaction score 37,475 Oct 23, 2018 #94,393 Ball possession Juve 62% ????
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,505 Reaction score 7,465 Oct 23, 2018 #94,394 Bhagavan said: Laiti kama ningelikuwa ni mchezaji wa manchester United basi kuna masokwe wawili nisingekuwa nawapa pasi abadan asilani Click to expand... Nani na nani hao mkuu?
Bhagavan said: Laiti kama ningelikuwa ni mchezaji wa manchester United basi kuna masokwe wawili nisingekuwa nawapa pasi abadan asilani Click to expand... Nani na nani hao mkuu?
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Oct 23, 2018 #94,395 Old Trafford Siku hizi imekuwa shamba la bibi ..
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Oct 23, 2018 #94,396 Duh game kubwa kama hii kocha anashindwa kufanya ata sub wapenzi wa bwana huyu niambieni sababu
L Life starts at 45 JF-Expert Member Joined Sep 22, 2015 Posts 1,000 Reaction score 998 Oct 24, 2018 #94,397 Ugiligili said: GGMU!! GGMU!! leo juve anakufa jamani..mark my words..!! Click to expand... kafa ngapi mkuu
Ugiligili said: GGMU!! GGMU!! leo juve anakufa jamani..mark my words..!! Click to expand... kafa ngapi mkuu
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,666 Reaction score 50,982 Oct 24, 2018 #94,398 Lukaku nae amekua kama paka
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Oct 24, 2018 #94,399 Konaball said: Duh game kubwa kama hii kocha anashindwa kufanya ata sub wapenzi wa bwana huyu niambieni sababu Click to expand... Ajabu ni kwamba anayeongoza anafanya sub,aliyefungwa katulia. Hii inaashiria nini?kufilisika?kufika mwisho?
Konaball said: Duh game kubwa kama hii kocha anashindwa kufanya ata sub wapenzi wa bwana huyu niambieni sababu Click to expand... Ajabu ni kwamba anayeongoza anafanya sub,aliyefungwa katulia. Hii inaashiria nini?kufilisika?kufika mwisho?
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,666 Reaction score 50,982 Oct 24, 2018 #94,400 Lukaku kwanza ananenepa hovyo and he become lazy