Manchester United (Red Devils) | Special Thread

United afanye vizuri au bibaya, bado media zinafanya business. Kuna wengine hata waashinde habari haiuzi
 
Misukule tena ona utoto wako ndo mana mnamzomea hadi kocha wenu bila sababu ya msingi kumbe vichwani hamna kitu ndo shida ya timu kuvamiwa na mamluk

Pogba ukamfananishe na jojina????? Maajabu ya dunia haya.
Hajui anapomuongelea pogba kua anaongelea world class midfielder ambayo ina aina ya upekee ya uchezaje wake.
 
Hoja gani na ww wakat sio level yangu nyie chelsea mnatakiwa mkomae na mashabik wa city na everton hapa sio level yako mnafosi upinzani.
Mashabiki wa man u hapk ndo mnapo nichosha, mnasema ninyi sio level yetu.. Mwaka wa tano sasa hamna Epl wakat hyo timu ambayo sio level yenu inachukua kikombe mbele yenu.... Sasa kama ninyi ni level ya juu si mchukue kikombe 😂😂😂
 
Ukitaja timu mbili kubwa england utaambiwa ni livepool na manchester united kwa nini?
 
Hayupo mwenye quality kama yake ila wapo wa zaid yake... Hivi sokoni yupk Pogba na Hazard utamchukua nani mkuu
Kwa number gani husika kwasababu hazard anaweza kucheza kma false number 9 ila hafit anacheza number 10 anacheza RW anacheza LW.
Ukija kwa pogba anacheza kma DM,anacheza Box to box MD anawza kucheza kma number 10 pia kwaio hpo inategemea kutokna na uhitaji wa player.
 
"No, I'm happy here. I'm happy to see my contract out to the very last day of that contract and I would like to stay after my contract ends. All I'm thinking about is Manchester United." JOSE

Hii kauli ni furaha kwangu.
 
Jiulize madrid na barcelona kwa nini hawajaleta ofa ya hazard?
Ingekua kama ni Hazard kwenda huko Madrid angeshaenda kitambo... Zidane amemuhitaj kwa kitambo sana... Umiachana na timu kama timu... Zidane mwenyewe personally anakubali Hazard
 
Ukitaja timu mbili kubwa england utaambiwa ni livepool na manchester united kwa nini?
Inategemea umemuuliza nani... Sasa kama unamuuliza mtu anakwambia Man u ni timu kubwa England wakat mwaka wa tano haijuchukua kikombe, alaf inajiita ni timu kubwa.. Sasa mtu akikwambia Man u ni timu kubwa na kuziona timh kama Chelsea ni ndogo lazima atakua ana matatizo somewhere
 

hapa ndipo uwezo wa kiakili wa mashabiki wa chelsea ulipoishia
 

hapa ndipo uwezo wa kiakili wa mashabiki wa chelsea ulipoishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…