Ipi hivi mkuu naona lukaku kuna mech anatakiwa kupumzishwa basi rashford atumbukie kama namba 9 ili kumpa nafasi sanchez au fred sioni kama sanchez anatakiwa kuanza bado kiwango chake kipo chini sana martiak kawa bora mno hadi mourunho kuna muda alimfuata na kuongea nae walifurahi sana naona martila nae karud kama shawMata akiwa anatoka nafasi yake aijaze Fred. Hawa vijana wapo sharp. Lukaku awe anafanyiwa sub au Rash acheze Centre Foward alafu mbawa moja acheze Perreira. Lukaku fomu imegoma japo mwili wake ni mtaji
Unasawazisha dakika ya 96 nani alipigania point moja?Man united Mnachekesha sana
Kwa hiyo Baada ya kupata point 1 mlioipigania kwa UDI na uvumba ndio kumewapa sababu kuwa chelsea ni ya kawaida msimu huu
Lakini sishangai maana msimu ulianza huku top 4 zikitajwa kabisa na chelsea hata haikuwekwa kabisa ikionekana ni team isiyoweza kuingia hata top 4
Nyie ndo mlioipigania hiyo point moja sio sisi..maana tulikuwa tunachukua point tatu..Man united Mnachekesha sana
Kwa hiyo Baada ya kupata point 1 mlioipigania kwa UDI na uvumba ndio kumewapa sababu kuwa chelsea ni ya kawaida msimu huu
Lakini sishangai maana msimu ulianza huku top 4 zikitajwa kabisa na chelsea hata haikuwekwa kabisa ikionekana ni team isiyoweza kuingia hata top 4
Yaani walijitamba hawa utadhani Man United ni Majimaji Fc!!!Mimi nikisoma tambo zako kabla ya game nacheka vibaya mno mkuu.
Hapana nyie ndo mlijitamba sana kwamba mtatupiga kipigo cha mbwa mwizi,kwanza mlikuwa mnajivunia position mliyyopo na magoli mliyofunga huku sisi mkitudhihski kwamba ni watu wa Sare tu hatujapata ushindi wowote na mkasema ndo kuanzia mechi yenu na zijazo tutashuka nafasi mpka ya kumi naa!!Man united Mnachekesha sana
Kwa hiyo Baada ya kupata point 1 mlioipigania kwa UDI na uvumba ndio kumewapa sababu kuwa chelsea ni ya kawaida msimu huu
Lakini sishangai maana msimu ulianza huku top 4 zikitajwa kabisa na chelsea hata haikuwekwa kabisa ikionekana ni team isiyoweza kuingia hata top 4
Chelsea walinaswa na shetani hata hawajaamini wanatafuta namna kujipoozaHapana nyie ndo mlijitamba sana kwamba mtatupiga kipigo cha mbwa mwizi,kwanza mlikuwa mnajivunia position mliyyopo na magoli mliyofunga huku sisi mkitudhihski kwamba ni watu wa Sare tu hatujapata ushindi wowote na mkasema ndo kuanzia mechi yenu na zijazo tutashuka nafasi mpka ya kumi naa!!
Mmefungwa mara ngapi hapo OT... timu yenu ilikufa tangu Web alipo staafu sasa hivi mmebaki mashabiki maandazi tu ndo mnaipaishaSio suala la kukariri
Tunaongelea home advantage, pamoja na uwezo wa timu, timu iliyopo nyumbani ana % kubwa ya kushinda
Mmefungwa mara ngapi hapo OT... timu yenu ilikufa tangu Web alipo staafu sasa hivi mmebaki mashabiki maandazi tu ndo mnaipaisha
Web alitupa champions league na world cup ngazi ya vilabu hahaha mbaazi zikikosa maua husingizia juaMmefungwa mara ngapi hapo OT... timu yenu ilikufa tangu Web alipo staafu sasa hivi mmebaki mashabiki maandazi tu ndo mnaipaisha
Tunakosa kitasa kama hiki pale nyuma aisee...
Sawa hongereni sana kwa ushindi wa jana.Sio suala la kukariri
Tunaongelea home advantage, pamoja na uwezo wa timu, timu iliyopo nyumbani ana % kubwa ya kushinda
Hahahaha radika now days una andika andika hovyo.Huna timu ya kutoa suluhu old traford ww level yako ni arsenal tu nae sijui kama utamuweza kwake kwako tu alitaka kukufumua toka mwanzo nilikwambia usiiamin timu yako haijafikia level ya soka la city na liverpoo ukishinda ni bahat tu
Tunakosa kitasa kama hiki pale nyuma aisee...
Hahahaha kweli mmewehuka.Mmefungwa mara ngapi hapo OT... timu yenu ilikufa tangu Web alipo staafu sasa hivi mmebaki mashabiki maandazi tu ndo mnaipaisha
Umesahau kwamba Chelsea alifika fainali.Web alitupa champions league na world cup ngazi ya vilabu hahaha mbaazi zikikosa maua husingizia jua
England ni manchester united pekee katwaa kikombe cha dunia ngazi ya vilabu kama una timu kilaza hubebi siju hizo mech web alikuwepo?
Ndo nini?Umesahau kwamba Chelsea alifika fainali.
Sisi watu wakubwa tumeumia kutoa droo na madogo angalia bench lenu mlivyopata point moja walivyowehukaHahahaha radika now days una andika andika hovyo.
Draw ya jana imekufanya umepagawa kabisa.
Basi sawa me nakubali Arsenal, Liverpool, na Man u watatupiga raundi ya pili.
Pia hongereni sana kwa ushindi wa jana.
Sasa mlishindwaje kuzuia tukasawazisha?Sisi watu wakubwa tumeumia kutoa droo na madogo angalia bench lenu mlivyopata point moja walivyowehuka
Mlikabwa koo vibaya sana tulikwambia mnaweza kuongoza ila cha pili tutawazingua ukajibu jeuri nyie sio newcastle naona mshakuwa newcastle sasa.