Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu ukiacha kocha tatizo bado ni kubwa.
True..tunahitaji no 9 aliye sharp..RB mmoja...beki wa kati waliokamilika pale tunaitaji wawili huku either rojo,bailly,lindelof wawili kati yao waondoke OT..maana sasa beki yetu itakuwa inaturudisha nyuma

Martial is matter of confidence tu..Jamaa atatusaidia aongezewe mkataba..
 
Martial ni wakulinda sana,ndio mchezaji wetu pekee anayetisha mabeki.
 
kweli kabisa pale beki zimetuangusha unaruhusu viph kufungwa pale
 

Mzee mwenzangu mmerudishiwa dakika ya mwisho duh kweli nimeamini man u ni wabovu
 
Wakuu kitu ambacho watu wengi wanasahau ni kwamba,Bailly na Rojo ilikia partner moja hatari mpaka ikaanza kuzungumzwa duniani.

Mara ya mwisho kucheza pacha ilikua ni ile mechi ya Europe ligi,Rojo aliumia.Toka kipindi hicho wamekua wakipishana majeruhi.

Mimi naamini beki sahihi za kati pale ni Bailly na Rojo.
 
Aisee ile sub ya Martial na Mata sikuzikubali hata kidogo.

Tulishawapoteza, ngoma ikienda kulia wanachanganganyikiwa, kushoto ivoivo.

Martial aliona hatric kabisaaaa
Nazani alimwambia Mou pale, why??
 
Aisee ile sub ya Martial na Mata sikuzikubali hata kidogo.

Tulishawapoteza, ngoma ikienda kulia wanachanganganyikiwa, kushoto ivoivo.

Martial aliona hatric kabisaaaa
Nazani alimwambia Mou pale, why??
Naumia sana nataman nimzabe vibao kocha
 
Kazi ya Asheri Mtoto
 

Attachments

  • - premierleague - football - ggmu - manutd - mufc.jpg
    61.6 KB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…