acha ramli mbaya basi, mwenzio ana familia inamtegemeaKusign kwa Luke shaw na baadae Martial ni dalili za Mourinho kuondoshwa
Wale wakwetu kabisa hata wakitangulia mbele lazima wakutane na li'comeback kama kawaida yetuOy wazee kesho tutatoboa mbele ya ze blues!!?
Stanford bridge pagumu aisee..Droo kesho utakuwa ushindi mzuri kwetuWale wakwetu kabisa hata wakitangulia mbele lazima wakutane na li'comeback kama kawaida yetu
Daaa "Hili game tough la kubana mbavu"Oy wazee kesho tutatoboa mbele ya ze blues!!?
Ha ha ha haacha ramli mbaya basi, mwenzio ana familia inamtegemea
Ile sare chelsea ndo wakushangilia liverpool wapo vizur kwa chelsea nafikir wajua hilo wana kama mech tatu au nne wamecheza hovyoNaomba mcheze kama Liverpool walivyocheza ili muambulie hata sare ila mkipaki bus itawagharimu sana
2015 final cup FA mlipigwa 2:1 wafungaji arsenal akiwa ni monreal na welbeck. 2015 hiyo hiyo ligi kuu uingereza mlipigwa 3 bila 2004/2005 final ya FA mlipigwa na arsenal. Sasa unaposema arsenal haijawahi kuifunga manchester United unawaza kwa kutumia viungo gani pia unaposema game haina umuhimu hivi wewe una akili timamu yaani kwako FA cup na ligi kuu uingereza hazina umuhimu.Final???? Ni zipi hizo ktk ligu kuu unamfunga united akiwa anapigania nafsi muhimu au akishida wa 6 afungwe wa 6? Kaangalie mwaka jana tulivyokuwa tunapigania nafasi ya pili tulimfanya nini?
Arsenal tukiwa tunahitaji jambo letu huwa hapinduwi hata wapangwe mabek watupu.
Sibishi najua hatujawah kuwafunga darajan Toma 2012 pie bila mou kuwapiga Mara Mbili 2-0 na last match 2-1 mungekua hamjawah kufungwa na United ila mourinho ndy anawamudu.... Msitegemeee penalty badae lazma mkalishwe... Mkipona drawNi kweli chochote kinatokea kwenye mpira na siku zote mpira unadunda ila sio kwenye maji brother