Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho bana apewe watu takwimu hizo hapo ubaoni mnaungana na mamluki kufukuza kocha ili tuendelee kupata tabu


Today's win means that Jose Mourinho now has the best win% of any manutd Manager.

Jose Mourinho 60.3%
Sir Alex Ferguson 60.1%
Ernest Mangnall 54.1% Sky Sports Statto on Twitter
 
Eti Mourinho sio kocha, ila analindwa na historia yake

Hiyo historia ilishushwa na Roho Mtakatifu au aliijenga yeye kwa uwezo wake?
Kuna watu wengine inabidi ukae kimya tu mkuu usijibu sijui ile porto alipokuwa akiifundisha hadi kubeba kombe la ulaya alikuwa akisaidiana na pep na sir alex mwingine anatoa post ya maumivu kwa kuwa dhamira yake ni kocha tu afukuzwe kisha akishafukuzwa???

Tumefukuza moyes na van gaal kuna tulichoambulia?


Moyes kashindwa hata kushika nafasi ya tano na timu bingwa wa epl

Bana wee mi nimeamua kutoa sapot kwa kocha yoyote ambae atakuwa united hata aje nani hii fukuza hamna kitu
 
Juzi nimewauliza washikaji zangu flani hivi, mfano Pochetino mnamsifia sana, na hata mimi siku moja natamani aje United, je hafungwi?

Mechi ya UEFA na Juve alipigwa, kaishapigwa na Watford ligi Kuu, kapigwa na Barcelona (ambayo kwa sasa si tishio sana) kipigo kibaya nyumbani

Nikawauliza kuhusu maendeleo ya Pep, UEFA n.k

Yaani hawana majibu ya maana.

Siku zote huwa nasema,hakuna kazi rahisi kama kulaumu
 
Siku nyingine timu apewe scholes huyu anakosoa hata under 11 hajawah kufundisha mwenzie Garry neville alikipata cha moto valencia aliwah kuuliza barcelona anakufungaje bao 5 kabla hajawa kocha kilimkuta valencia alipopewa timu alikula hizo hizo na barca sasa hiv yupo kimyaa
 
I think ungeattack context iliyopo kwenye ujumbe alioandika ingeleta maana kuliko kuattack an imaginary personality u created for him.

We are all United, Manchester not Newcastle.
 
Nilichogundua ni mzur akitokea pembeni mourinho alimpeleka pembeni katikati akasimama fellain na sanchez
Yeah anaweza kudribble pia kutokana nguvu zake anaweza kuoverwhelm mabeki wa timu zingine kirahisi
 
Ni mzito mno ila anahitaji washambuliaji wa kusaidiana naye kwa karibu. Mara nyingi kunakuwa na distance kubwa kati yake na wasaidizi kwenye attack.
Ofcourse akicheza pamoja na Sanchez itakuwa vizuri au acheze na martial halafu nyuma yao awepo Sanchez au lingard au mata
 
Watu wengi hamu yao ya kutaka ushindi inawafanya washindwe kuona factors nyingine kwenye soka

Wanachukulia mambo poa.

Ni kweli kuna kipindi unaona mapungufu kwa kocha lakini si kwa kiwango hicho wanachodai watu.

Lakini hii pia, haimaanishi makocha wengine hawana mapungufu
 
Hataki tena kazi ya ukocha hahahaha
Kabaki kuwa mchambuzi
 
Jkt ruvu wanatumia uwanja wa general isamuhyo siyo mabatini Mkuu.

Halafu msemaji wake ni Masanja siyo Masau bwire .

Masau bwire ni msemaji wa wazee wa kupapasa Ruvu shooting star chini Malale kea hamsini
 
Mimi pia siyo muhumini wa fukuza fukuza haijengi kabisa zaidi inawapitisha kwenye kipindi cha mpito kila mnapo leta mwalimu mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…