Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani leo mashabiki wa man wengi walitamani wafungwe ili Morinho afukuzwe, yaani wanamlaumu Sanchez kwa nini kafunga goli la tatu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mourinho Ana mungu wakee...Lakini badoo why afungwe mapemaa[emoji48][emoji48][emoji48][emoji24][emoji24]
 
mapumziko man u wamekutana na mameneja/C.Os, wamiliki wa tumu 'fagasoni' wenye hisa mbali mbali wakiwa na sura nyekundu na kauli yao ilikua
leo mkipoteza hii mechi muanze kuongea na mawakala wenu wawatafutie timu wakati wa usajili wa dirisha dogo.

kilicho tokea baada ya hapo hata sanchez katupia
 
FT: Man U 2 vs Newcastle 2 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mtarudi mlipotoka vs Chelsea mechi ijayo. Nilikuwa najua mtawagonga Newcastle United
Hahahhaa utashangaa!! Si unajua pamoja na ubovu wetu ila timu kubwa kama sisi tunavyozikamiaga!!
 
Vyenye soka lilivyo la ajabu na mashabiki tulivyo. Lazima utasikia wale wale waliokua wanatukana Mou msenge mou fala mou aondoke saizi kwakuwa kashinda mtasema abaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…