Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho endelea tu kuwepo wakuongeze na miaka 3 mbele.

Nakutukana kimoyomoyo tu nisije pigwa ban
 
Hahahhahaha refaree kakataa kutoa penalt hata japo kana hahahhahaha. Mtakonda sana mwaka huu
 

Mou na Lukaku ni sawa na Magufuli na Makonda.
Watatoka wote ila lukaku atabaki.
 
Hakuna coach ambaye man u fans walimkubali kama morinho so disaptmt
 
Lukaku alipokuwa anafunga magoli last season mlikuwa mnawapiga madongo waliocheka ununuzi wake. Sasa mnakubali.

Mou na Lukaku ni sawa na Magufuli na Makonda.
Watatoka wote ila lukaku atabaki.
 
Lukaku alipokuwa anafunga magoli last season mlikuwa mnawapiga madongo waliocheka ununuzi wake. Sasa mnakubali.
Sikumbuki kama niliwahi kuwa na imani na Lukaku mkuu,sio aina ya wafungaji ninaowakubali.
 
Mi ningekua Jose kuepuka kuchafuliwa CV ningepiga chini tu ,,,sasa hapa inaonekana timu zote alizofundisha anafukuzwa isipokua Porto na inter
 
Half tym. Mou katangulia dressing room. Baily na kina Smailing wanaenda kukoga matusi. Sipati picha.
 
Valencia anaadhibiwa kwa ku-like ile post au anaumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…