radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Ona watu wanavyocharuka mkuuKuna mahali nimeona wamepiga kura nani aondoke kati ya Mou au Pogba. Asilimia 60 wanataka Pogba afurumushwe.
Ona watu wanavyocharuka mkuuKuna mahali nimeona wamepiga kura nani aondoke kati ya Mou au Pogba. Asilimia 60 wanataka Pogba afurumushwe.
hizi game asipoanza pogba zote uhakika wa kushinda ni asilimia 70The Coming Man Utd Fictures.! View attachment 884071
Huyu bwana pogba kwa kweli yeye ndiyo chanzo, maana anawafanya hata wachezaji wengine wakose molari na pia hata kufanya wamchukie mourinhoWakuu nanyinyi kabisa mnaamini Pogba ndo chanzo cha kufungwa na kuwa na hali mbaya hahahahhaha ngoja twende tutajua tu time will tell
Pogba ni kiongozi tu mkuu ila wengi wao wanamanung'uniko ya ndani kwandani,Huyu bwana pogba kwa kweli yeye ndiyo chanzo, maana anawafanya hata wachezaji wengine wakose molari na pia hata kufanya wamchukie mourinho
Mkuu najua umeangalia gemu za man u nyingi alzocheza pogba na u hezaji wake umeuona kijana hachezi jihad ana ubishoo mwingi utoto mwingi yuko slow kwa hili tusikatae tuukubali ukweliPogba ni kiongozi tu mkuu ila wengi wao wanamanung'uniko ya ndani kwandani,
ni kama hapa tuchukulie pogba ni Mange alf mtukufu ni Mourinho.....nadhani umeona Mange ni kiongozi wa watu waoga wasiojitokeza hadharani
Mkuu Pogba game ya Derby hakucheza kabisa, nadhani matokeo unayajua.hizi game asipoanza pogba zote uhakika wa kushinda ni asilimia 70
POGBAOUTIla mimi jamani sioni kama pogba ana kiwango cha kutufanya club nzima na mashabiki wote duniani kulialia akiondoka , si aende tu jamani
Mkuu wachezaji wetu wengi wana matatizo,mfano pogba anazungumzia mpira wa kushambulia wakati yeye akipewa pasi anasubiri maadui waje awape mwili.















POGBA OUTPOGBAOUT
Pamoja na ndugu yake martial, wote bench!hizi game asipoanza pogba zote uhakika wa kushinda ni asilimia 70