Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kwakweli huyu jamaa na mwenzake radika wako vizuri sana,

kuna watu hadi leo hii ukiwaambia hii timu haina wachezaji wa kushinda mechi, utaambulia matusi

-kuna watu bado wanaamini hii timu ni sawa na Liverpool ya klop.
Kwa mfano attacking force yetu
Martial
Rashford
Lingard
Wote Hawa ni average players
Huwezi fananisha na
Firmino
Mane
Salah
 
Wakuu mimi napata sana hasira hili li Mou linavyoongea, mbuzi hili halijui kuna watu limechana mikeka Mara 5 mpaka sasa....nitakuja kujiua ndo lielewe hili ngese la kireno
 
Hahaha hatar sana mkuu mi ndo mana nasema tatizo la hii timu sio kocha ni mfumo mzima wa club ila watu tunaangalia hapa karibu tu david Gill alikuwa vizur sana
Kabisa mkuu G Neville alitoa kauli kama yako, Cha ajabu na cha kusikitisha wengi wetu humu hatulioni hilo tumebaki tunamlaumu kocha

"It’s not the manager it’s the lack of football leadership above him. They are bouncing all over the place with no plan!"
 
Kipigo cha city toka kwa wigani sio sawa na cha kwetu Mkuu kweli tunashindwa wafunga derby mwenye kikosi cha paun mil 45 kweli mkuu
Mkuu Simba na kikosi cha Bil 13 kimeshindwa kuifunga Yanga yenye kikosi cha mil 120.
Kinachoshinda mechi asilimia kubwa ni ari nzuri ya wachezaji
 
Mechi ya west ham nilishangaa sana pogba kumchezesha alitakiwa kukaa bench hilo nasema ukweli kabisa
Ajabu ni kwamba atamchezesha tena na mechi ya jumanne. Pogba anafanyaga utoto sana na anaishia kupoteza mipira bila sababu. Timu inahitaji watu wa kazi,na pale mtu wa kazi namuona ni Herrera pekee!
 
Nimerudi sasa baada ya kula kifungo cha muda wakuu salama hapa???
 
Ila mimi jamani sioni kama pogba ana kiwango cha kutufanya club nzima na mashabiki wote duniani kulialia akiondoka , si aende tu jamani
 
Back
Top Bottom