Kuna tatizo mahali, ila hii tabia ya migomo ya wachezaji inabidi ikomeshwe na FA maana wasipoliaddress vizuri itakuja samba kwenye vilabu vingine vikubwa kama Tottenham, Liverpool Mancity , Arsenal etc
Asante ndugu, karibu jamvini. Tuna majonzi kwelikweli. Sijui siku tukikutana na wale majirani wakubwa itakuwaje na wale watani manake Kama Hawa watoto tuu wanatutia aibu namna hii. Daah
Hivi ni akili mchezaji kubishana na mwalimu wake
Pogba alikosa nidhamu kumfundisha kazi boss wake
Mwalimu anataka kukaba we unamwambia mshambulie wapi na wapi
Huo ndio mfumo wa mourinho siku zote wakuu
Katika ya watu waliomvumilia huyu kocha basi ni mimi mmojawapo...ila sasa inabidi aondoke maana body language ya wachezaji kwa kweli haipo..westham kwao wameshinda mechi moja anaenda kuchezesha beki 5 kweli...
Its time now he has to go..
Man u ina wachezaji Bora Sana Tena wengi Sana. Tatizo lipo kwa kocha. Kwanini anataka anunue ambao tayari waliisha tengenezwa. Asitengeneze wa kwake anao hapo wengi tuu.
Huyu siyo mwalimu mzuri. Hakuzi vipaji anavibomoa hatufai.
Mourinho kweli si mzur tunamuangalia zizou ambae alikuwa na timu kwa pale england wachezaj watatu tu wanaweza kuanza ambao ni kante,hazard na de gea kidogo inatisha wakuu.
Alafu hata Bayern hawapati matokeo mazuri nakocha wao, ingawa mpya wanaweza mfukuza mwisho wa msimu wakamchukua Zizzou, maana sisi tunajifanya vichwa maji ngoja tupewe dawa
hii hali ipo kama ile sinema ya vyeti feki, mwisho wa siku Ed na black suit atatokea na kusema "the board still has a lot of faith in manager and we will support him together till the end of his contract"
Naongea kwa maumivu makali morinho hana mbinu mbadala za mpira wa miguu man utd na cjui maboss wanasubri nni mpaka waone timu inavoingia Europe yani Daa raha hamna