Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuuu kombe si alichukua ... kombe mpewe Ba do tunalalamika.. kwel ubinadamu kazi kwel kwel
 
No player is bigger than team.. pogba auzwe
 

Hivi wanaomuunga Mou mkono wanatumiaga vigezo gani?

Hakuna mechi hata moja ambayo tumeshinda EPL tungetoka salama kama zingeongezwa dakika tano tu, ukiacha game ya Young boys.
Best coach in the world so far
 
Dah aya maisha bana..nakumbuka kipindi sir alex ferguson yupo tulikua tunashinda mataji,,soka zuri ila mashabiki baadhi yetu(nkiwemo) tukaanza kumchoka tukisema ligi kwetu sio muhimu sana tunataka tena UEFA..aliposema akichukua ataondoka(kumzidi liver) tukasema heri achukue tukiamini anaekuja atasajili wachezaji wakubwa tutabeba UEFA mara kadhaa na tutakua wababe wa UEFA(kama alivyo real)..alivyokuja moyes tukazingua nkasema mpito.. imani ikawa kwa van gaal ambae alileta soka tamu mno ila mapungufu sehemu ndogo nliamini alikua sahihi..sasa kwa mou na hiki kikosi tulichonacho daah nkiwakumbuka kina FABIO akipitwa adi anamrukia mtu ili asilete athari kubwa..iki kikosi angekua nacho sir alex..dah tungekua mbali sana apa ndipo unatambua kweli kila mwalimu na falsafa zake...mourinho angebadili tabia ya kubwata kwa wachezaj kwa media,angefanya hvyo dressing room na kwa marefa kama sir alex na si kwa squad yako mbele ya media ndo mana inaleta haya kwa kina pogba hata kama ilishaleta chelsea,real..na pogba nae abadilike si vyema kuonesha hadharani huitaki timu uliyonayo..
Kikubwa tubadili aina ya soka mourinho atuachie man u yetu..nae pogba akiendelea atuachie man u yetu walikuepo kina roy kean,eric,d.beckam,van nestroy,
Lets be together kwa muda huu..ila kiukwel tupo kwenye hali MBAYA mno tusioneshe tofauti zetu itatugharimu sana..

#GGMU
 
Ndio maana nakwambia tatizo ni kubwa (fans tuko desperate) but wenye timu (Glazers) wametulia wako comfotable as long club inazidi kuingiza fedha mara dufu kama wasipo-adress haya matatizo United will fall apart taratibu wakija kushtuka its too late
Ndo kwanza team imecheza match 6 unataka glazers wachukue maamuz ya kukurupuka dahhh
 
Point
 
Soka la fergie ilikuwa butua butua... Yule mzee alikuwa anabeba ubingwa coz alikaa na team muda mwing sana miaka 30 sio midogo..
 
Soka nalijua sana... TatiZo unaleta ushabik.. hebu check martial alivyocheza juz upuuz mtupu
Juzi lini??..kama ni carabao martial gemu ya juzi alicheza vizuri hata ukiangalia reviews nyingi za mashabiki duniani kwenye forum kubwa kama redcafe.net(leading manchester united forum)

Acha mambo ya ajabu mkuu..kipaji hakifi kifalafala hivyo..jamaa ni kwanza ana miaka 22
 
Kama angekuwa hajaisha kocha angempa namba first 11... ki ukweli amekwisha
 
Kocha wako mwenyewe hana mbinu,inshort ametepeta..Atawezaje sasa kumtumia martial??

Na mourinho hajawahi kuwa na first eleven..
Uhakika wa namba kama pogba.... . Martial na lukaku n wakuuzwa... nasikitika sana kununuliwa kwa lukaku bora morata angekuja
 
Soka la fergie ilikuwa butua butua... Yule mzee alikuwa anabeba ubingwa coz alikaa na team muda mwing sana miaka 30 sio midogo..
Unaweza ukawa sahihi..ila sikumaanisha pasi..nlimaanisha ile spirit yetu jinsi tulivyokua tuna attack zikibaki dakika chache jinsi goli linavyotafutwa kwa nguvu zotee..ndo ilikua point yangu
 
Tunaanza na mtu mmoja mmoja club haiwezi poteza assets mbili.....tumtoe kwanza Mou kafara tuone uelekeo wa Pogba upoje...tunaweza sema Pogba tatizo kumbe Mou ndo amafanya jamaa acheze chini ya kiwango
Huyo Mou kapewa makavu na Ramos huko madrid kaenda chelsea kaigawa hapo ndo kesha anza.
Mara nyingi akishindwa hutafuta wakumtupia lawama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…