john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
hazard huyu huyu atamuondoa Sarri kama alivofanya kwa Mou, na Conte ni matter ya mda tu! tukiruhusu Pogba adominate club basi tumeumia!Unakumbuka hazard alikuwa amezinguana nae akawa anacheza ovyo sana..na kuna mechi alitolewa kipindi cha kwanza mapema kabisa..sasa mwangalie hazard baada ya mourinho kusepa
Mourinho OUT..
Hizo taarifa umezipata wapi mkuu? Mou ni shiida ila Po halina akili naloKuna taarifa pia kwamba wachezaji wanao ongea kifaransa wapo upande wa Pogba. Pogba,Martial na Erick Bailly. Luke Shaw naye hapendezwi na mambo anayofanya Mou. Lukaku yeye yupo 50/50. Ingawa anaonekana kuegemea upande wa pogba. Kwa jinsi Mou alivyomtendea Mata tangu akiwa Chelsea, Mata yupo upande wa Pogba.
we ngoja nikuache naona unanipotezea muda! nyinyi ndio wale fan maandazi! ujui ulisemalo unaropoka hata team yako uijui!Unanitajia takataka martial we vipi mchezaj mzur anajulikana tu hata kocha awe mpuuzi kachukuliwa dembele aliekuwa majeruhi kwenda kombe la dunia na kacheza mech tatu tu barcelona unakuja kuandika pumba zako
Mkuu Leo ndo nimeamini hujui mpira kabisa wewe wa kusoma martial takataka??? hahahahahUnanitajia takataka martial we vipi mchezaj mzur anajulikana tu hata kocha awe mpuuzi kachukuliwa dembele aliekuwa majeruhi kwenda kombe la dunia na kacheza mech tatu tu barcelona unakuja kuandika pumba zako
Unakumbuka hazard alikuwa amezinguana nae akawa anacheza ovyo sana..na kuna mechi alitolewa kipindi cha kwanza mapema kabisa..sasa mwangalie hazard baada ya mourinho kusepa
Mourinho OUT..
Sasa si kila mmoja anavyoona hivi mitazamo inafanana kweli? Basi kungekuwa mashabik wa pamoja wa mess na ronaldo mana kuna wanaomwona mess takataka au hujui?Mkuu Leo ndo nimeamini hujui mpira kabisa wewe wa kusoma martial takataka??? hahahahah
Mkuu yan hii ni Mou effects bado.... mzee ameishatugawa hadi fansHumu kuna siku tutakuja kutwangana ngumi..
Hahahaha hapa nimecheka sana hilo ni kweli hata bodi haijui ifanye nini unajua aliwawahi kwenye media kwamba kashindwa kupewa maombi yake bila hivyo angechinjwaMkuu yan hii ni Mou effects bado.... mzee ameishatugawa hadi fans
jionee wewe mwenyewe yaani hata Mimi nimemshangaa sana huyu boya hajui mpira kabisa! eti martial kiwango kidogo! huyu jamaa ni chizi.aiseeMkuu Leo ndo nimeamini hujui mpira kabisa wewe wa kusoma martial takataka??? hahahahah
Kweli mkuu..kuna wengine wanakuambia"martial ni takataka"..ila mourinho ndo dhahabu..hahahaha!!!Mkuu yan hii ni Mou effects bado.... mzee ameishatugawa hadi fans
yeah mambo ya mikataba hiyoAfu uzuri wa Mo ukimtimua anachukua chake mapema
Kuna taarifa pia kwamba wachezaji wanao ongea kifaransa wapo upande wa Pogba. Pogba,Martial na Erick Bailly. Luke Shaw naye hapendezwi na mambo anayofanya Mou. Lukaku yeye yupo 50/50. Ingawa anaonekana kuegemea upande wa pogba. Kwa jinsi Mou alivyomtendea Mata tangu akiwa Chelsea, Mata yupo upande wa Pogba.
hapo ndio ujue kuna plastic fans wengi hawajui mpira alafu anakuja kuropaka mbele ya wanaume eti martial takataka aisee kuna watu mafala sana dunianiKweli mkuu..kuna wengine wanakuambia"martial ni takataka"..ila mourinho ndo dhahabu..hahahaha!!!
Mkuu wewe ni United damu damu??yeah mambo ya mikataba hiyo
sijafikia hatua ya kuwa man u damdamuMkuu wewe ni United damu damu??