severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Mkuu pole kwa yalokusibu huko kwenye nchi ya CarabaoMourinho atakapoondoka Man U Uengereza hawezi Kuchukuliwa tena na Top 6 yoyote, Wala Spain Hawezi Rudi tena (Kwa Real & Barca)..
Kwahiyo Bado Nafasi anayo Kwani Kabakisha PSG, Bayern na Juventus anweza Kwenda kujaribu Kurewrite expired CV Yake.
Huyo mchezaji huwa hajitumi na ninashangaa huyo kichaa mwenzie kumpa kitambaa cha unahodha. Pogba ameshapangwa namba tofauti tofauti hata hizo anazolilia ila yuko slow,sometimes anachelewesha mipira,anadondoka kirahisi sana,ananyang'anywa mipira kirahisi sana. Anapenda kupimana mabavu na opponents hata pasipo na sababu ya msingi. Mimi naona kocha na huyo mchezaji in walewale tu. Ikiwezekana wote Out!!Hebu taja tabia za Pogba alizoonesha ???
Ninachojua Pogba kasema mbinu za mou ni outdated , litimu kila siku linapaki basi kwani uongo ??? Sasa hapo kosa lake lipi ???
Nataka unijibu
Mbinu za Mou zimepitwa na wakati. Anaumizwa na kivuli chakeMatatizo ya United ni mengi sio kocha tu (Mourinho) kumbuka Moyes & LVG wamefundisha kabla ya Mourinho there was no any progress kibaya zaidi huenda cycle ya kuleta kocha mpya na kumfukuza itandelea until management watakapoweza ku-adress matatizo yote.There is no manager will fix this team in 2 years
Jose amejitahidi sana kumpa Pogba kila alichotaka ili but Pogba ameshindwa kumNachosema Mourinho kama manager mwingine alichofanya(kumvua unahodha Pogba) ni sawa. Pogba amepata kichwa hasa baada ya kuwa the expensive player then kuwin WC. But hajafanya lolote la kutisha kama wachezaji wengine. Kante ni bonge la mchezaji (high consistence performance) kuliko Pogba. Nakumbuka Ferguson alimtimua Roy Keane from Manchester United baada ya kuikosoa timu then ilikuwa behind the scenes (if I remember it right)
Hapo ni sahihi. Ila hiyo haimaanishi Jose ni kocha mzuriJose amejitahidi sana kumpa Pogba kila alichotaka ili but Pogba ameshindwa kum
1.United legends (Scholes,Neville)+English pundit (Souness,Carra) attack Pogba Jose defend him
2.Mourinho favourite system is 4-2-3-1 but he change to 4-3-3 in order to please Pogba
3.Jose ignore senior players (Young,De Gea,Mata,Herrera) to give Pogba captain armband
4.Strip Lukaku first team penalt takers and give him
But Pogba has done nothing to protect his manager
Matatizo ya United ni mengi sio kocha tu (Mourinho) kumbuka Moyes & LVG wamefundisha kabla ya Mourinho there was no any progress kibaya zaidi huenda cycle ya kuleta kocha mpya na kumfukuza itandelea until management watakapoweza ku-adress matatizo yote.There is no manager will fix this team in 2 years
Jose amejitahidi sana kumpa Pogba kila alichotaka ili but Pogba ameshindwa kum
1.United legends (Scholes,Neville)+English pundit (Souness,Carra) attack Pogba Jose defend him
2.Mourinho favourite system is 4-2-3-1 but he change to 4-3-3 in order to please Pogba
3.Jose ignore senior players (Young,De Gea,Mata,Herrera) to give Pogba captain armband
4.Strip Lukaku first team penalt takers and give him
But Pogba has done nothing to protect his manager
Hakuna kitu kama hicho, wengi humu wanaongea tu,wachezaji wengi wamefurahi pogba kustaafishwa ucaptain,7b siko nyingi pitia skysports kidogo ambao ndo wa kwanza kuonesha video ya jana tizi,Hamna mchezaji anayependelea kuona timu inashambuliwa muda wote.
Pogba atakuwa na wafuasi wengi tu.
Mkuu Belo afadhali umekuja hadharani. Moyes lilikuwa chaguo la fergie ingawa kila mtu alijua tunatafuta kocha wa kudumu. Lvg alikuwa kocha sahihi ila tatizo lake alitaka kuibadilisha filosofia ya uchezaji wa klabu yetu ndio maana alifanya overhaul ya wachezaji kibao waliokuwa hawafit kwenye mfumo wake akabaki na vijana wengi. Kumbuka kubadili filosofia kulihitaji muda mwingi zaidi kitu ambacho wapenzi na mashabiki waliona anapoteza muda ikizingatiwa walikuwa wamezoeshwa kubeba ndoo mara kwa mara.
Makocha wengi wapya ndani ya epl wameingia na wamejenga timu za kueleweka ndani ya muda mfupi,kwanini sisi tunabaki na utetezi wa muda wakati hata dalili ya mabadiliko hakuna?
Kwa maoni yangu binafsi,tatizo la man utd liko kwa mourinho na sajili zake za kukomoa au kubahatisha.
May be uko sawa but unapaswa kumlaumu Woodward kwa nini alimpa Mourinho kazi ya kufundisha UnitedMbinu za Mou zimepitwa na wakati. Anaumizwa na kivuli chake
Mkuu una mahaba Niue na pogba sawa lakini mahaba ndivyo yalivyo.Kuandika kwenyewe hujui,
awala
hawala
Sasa mtu una Kichwa kibovu kama injini za Yutong unaweza kujipambanua mbele ya Paul Pogba.
Mou anasema free kick ilikua offside,, mzee amechanganyikiwa huyu jaman
Daaaah!!
You're shallow minded fvking Fan,Huyo mchezaji huwa hajitumi na ninashangaa huyo kichaa mwenzie kumpa kitambaa cha unahodha. Pogba ameshapangwa namba tofauti tofauti hata hizo anazolilia ila yuko slow,sometimes anachelewesha mipira,anadondoka kirahisi sana,ananyang'anywa mipira kirahisi sana. Anapenda kupimana mabavu na opponents hata pasipo na sababu ya msingi. Mimi naona kocha na huyo mchezaji in walewale tu. Ikiwezekana wote Out!!
Kumbuka Pogba ndio alichomoa goli final ya Europa kabla ya Miki kupiga msumali Wa pili ,Huyo mchezaji huwa hajitumi na ninashangaa huyo kichaa mwenzie kumpa kitambaa cha unahodha. Pogba ameshapangwa namba tofauti tofauti hata hizo anazolilia ila yuko slow,sometimes anachelewesha mipira,anadondoka kirahisi sana,ananyang'anywa mipira kirahisi sana. Anapenda kupimana mabavu na opponents hata pasipo na sababu ya msingi. Mimi naona kocha na huyo mchezaji in walewale tu. Ikiwezekana wote Out!!
Lazima management ikubali SAF ambaye alitengeneza profile ya hii timu hayupo tena so team inahitaji kuanza upya.Kwanza kuchagua kutafuta temporary manager(LVG,Mourinho) kuirudisha timu kugombania ubingwa ndani ya muda mfupi (ambayo imeshafeli) au kutafuta young long term manager give him money & time (ndio the better option so far)
Pia United inahitaji Director of Football/Sporting Director atakayekuwa ana-link between CEO & Manager na hii itasaidia ku-punguza matatizo yaliyopo kwenye mfumo wa club,Klabu kama Bayern,Juventus,Dortmund,Man City,Liverpool,PSG,Barca wote wanatumia mfumo huo.So far timu ina wachezaji waliosajiliwa na makocha 4 (SAF,Moyes,LVG,Mourinho) na wote falsafa zao ni tofauti ndio maana akija kocha mpya anapata taabu kufanya kazi na wachezaji aliowakuta
Niliwahi kutabiri humu kama wewe ni active fan Wa Uzi huu tafuta comments zangu zote,Mkuu una mahaba Niue na pogba sawa lakini mahaba ndivyo yalivyo.
Sioni umuhimu wa kufukuza kocha tutahangaika sana mana atakae kuja ataanza kusajili bora tuvumilie mapendekezo yake yatakelezwe hizi program za kuishia njiani zina matatizo sanaLazima management ikubali SAF ambaye alitengeneza profile ya hii timu hayupo tena so team inahitaji kuanza upya.Kwanza kuchagua kutafuta temporary manager(LVG,Mourinho) kuirudisha timu kugombania ubingwa ndani ya muda mfupi (ambayo imeshafeli) au kutafuta young long term manager give him money & time (ndio the better option so far)
Pia United inahitaji Director of Football/Sporting Director atakayekuwa ana-link between CEO & Manager na hii itasaidia ku-punguza matatizo yaliyopo kwenye mfumo wa club,Klabu kama Bayern,Juventus,Dortmund,Man City,Liverpool,PSG,Barca wote wanatumia mfumo huo.So far timu ina wachezaji waliosajiliwa na makocha 4 (SAF,Moyes,LVG,Mourinho) na wote falsafa zao ni tofauti ndio maana akija kocha mpya anapata taabu kufanya kazi na wachezaji aliowakuta