Pogba ni bora sana,
Kwa kifupi yupo dispaointed sana na matarajio ya kocha wetu.
Soft midfielder, talentented, attacking minded unampaje kazi ya kukaba?
Futa maneno yako kwa kurejea alichokifanya Juve akiwa mbele ya Vidal
We are in the same Boat Now! Sote tumebakia Kuwa Ni Wana Historia tu! Our 27 yeras kwenye EPL was aslo 6 once, you'll find out soon..
Endelea Kujifariji na Mafanikio ya Ferguson yaliyobakia Kuwa Ni Historia tu.