Bora mseme nyie bhna.ila inauma fergie aliingia akashingiliwa sana mwisho anaonyeshwa anaumia mzee wa watu.ningeambiwa pangua timu namtoa bolingoli na pogba.Timu ikishinda watu wanasema timu inawachezaji wazuri,timu ikifungwa watu wanasema hatuna timu..
Lukaku na sanchez mishahara wanayolipwa sijui ni ya kazi gani..hawa jamaa ingebidi kwa mwezi wawe wanavuta tsh750,000...
Ndio mkuu anavuta £350k per week..this is ridiculousHivi Sanchez wenu ndio the most paid player in the league???
Wale watoto sio wazuri kidogo wawapige kabisa
Ndio mkuu anavuta £350k per week..this is ridiculous
Hivi nauliza ni mchezaji gani toka aje huyu kocha ana kiwango kizuri? ??Ndio mkuu anavuta £350k per week..this is ridiculous
Mkuu huyu Sanchez mpeleke City au Liverpool utampenda sio kwa mpira anaofundisha na tabia ya kocha wao ilivyoMkuu hiyo £350K Ni Pesa anayolipwa Ozil pale Arsenal..
Sanchez analamba £500K Ni Mchezaji anayepokea Mkwanja Mrefu Kuliko Mchezaji Yeyote Pale EPL.
David de gea..Hivi nauliza ni mchezaji gani toka aje huyu kocha ana kiwango kizuri? ??
Indeed!But if it brings good results, at this moment we say ok
Jamaa inabidi arisk, aanze kucheza na akina Perreira, Martial na Rashfold. Ampige benchi aLukaku na Sanches