Dalot akifikisha miaka 23 kwa kweli tutapeta ndo kwanza ana 19 kushoto shaw daa wakuu hapa kuna timu matata sana inakuja kiungo cha andreas perreira tuwe na subira tu the future is bright.
Dalot akifikisha miaka 23 kwa kweli tutapeta ndo kwanza ana 19 kushoto shaw daa waku hapa kuna timu matata sana inakuja kiundo cha andreas perreira tuwe na subira tu the future is bright.
Mkuu nilikuwa kila siku nataman beki mbili na tatu tupate asilia sasa naona ndoto inatimia pamoja na valencia na young kiwa vizur ila mm nilikuwa sipend
Mkuu nilikuwa kila siku nataman beki mbili na tatu tupate asilia sasa naona ndoto inatimia pamoja na valencia na young kiwa vizur ila mm nilikuwa sipend
Kabla ya mechi ya city vs lyon depay aliwachimba mkwara man city bado jiji linataliwa na manchester united na ndicho kilichotokea city kafa united kashinda.
Kabla ya mechi ya city vs lyon depay aliwachimba mkwara man city bado jiji linataliwa na manchester united na ndicho kilichotokea city kafa united kashinda.
Kabisa hata cross zao ni nzuri sana tumepata faida sasa tuanze kuumiza kichwa 4 na 5 na pale anapocheza fellain maana kuna muda fellain anacheza kama namba 5 ningependelea pawe na mtu mwenye kasi tofaut na fellain japo kwa sasa anatusaidia sana
Kabisa hata cross zao ni nzuri sana tumepata faida sasa tuanze kuumiza kichwa 4 na 5 na pale anapocheza fellain maana kuna muda fellain anacheza kama namba 5