Mechi ya Brighton siyo rahisi kuitafsiri manake ilifikia kipindi nikawa naangalia mpira huku nacheka na machungu yangu. Sijui ni nini kiliikuta timu nzima. Mashabiki tu walokuwepo uwanjani ndio walikuwa boraHata game ya burnley tulikuwa bora sna goli kama nne za wazi tumekosa tulikuwa pungufu bado tulikuwa hatar
Mech mbovu ni ya brighton hii mech hadi bench la ufundi lilikuwa sifur
Naamini kocha hajaweza kumjenga vema na watu Wa kucheza nae. Kwa kifupi hadi sasa kocha ameshindwa kabisa kujenga ukuta wenye maelewanoHuyu dogo kwenye game za timu ya taifa hana makosa madogo madogo kama akiwa united,kuna anayeweza kulisemea hili tafadhali?
Bado naamini lukaku ni good striker and not top striker. Mshambulizi asiyeweza kumiliki mpira ktk first touch ni hasara kubwa sanaLukaku huwa anakosa clear chance :YES na sio yeye tumeona Morata,Auba,Sterling,Suarez wanakosa magoli
Lukaku last season alianza kwa kasi sana but msimu huu hakuwa na pre-season so hana match fitness (same to Pogba,Matic) na mfumo anaocheza United anapewa mzigo mkubwa sana.Mara nyingi anarudi kati kutafuta mpira na mara nyingi anakuwa isolated peke yake kupambana na 2 CB + Fullbacks
Mpira wa siku hizi umebadilika sana sio wa kumtegemea striker pekee ndio wafunge magoli defenders+midfielders wanapaswa kumsaidia Lukaku/timu kufunga magoli.
One of the strenghth za Lukaku ni mipira ya juu but our midfielders wanashindwa kumtengenezea nafasi ya magoli ya vichwa
Ha ha ha haunataka kunambia lile la wazi agaist Spurs pia linahitaji team work?? au mimi sielewi maana ya team work
Hawa wanakosea kwa bahati mbaya,lukaku anakosa kwa sababu yeye si mshambuliaji mahiriKama una muda angalia hizi clip
Ujamuona Alonso, Azp, Ngolo....Players from 8️⃣ different teams involved in Alan Shearer's Team of the Week - and a switch to 4-3-3.
Lukaku kapenya huenda mpira tunaangalia kishabiki sanaView attachment 855902
Sio mm ni shearer hata wewe mkuu unaruhusiwa kutengeneza ya kwakoUjamuona Alonso, Azp, Ngolo....
You must accept every human has his strength and weakness ,there are strikers with good first touch but they cant match him in scoring goals(primary job of striker),currently he is 26th in all time premier league goalscorerBado naamini lukaku ni good striker and not top striker. Mshambulizi asiyeweza kumiliki mpira ktk first touch ni hasara kubwa sana
Halafu kuna nyumbu zina mfananisha Lukaku na King Drogba... dah! Aise!!Magoli anayokosa Lukaku mengi ni kuchelewa kufanya decision mwili wake ni mkubwa anachukua muda mwingi kufanya decision so ni rahisi kipa/mchezaji kumkaba/kumzuia
Dah ndo target ya Mourihno msimu huu???Manchester United's target? Win the league? European success?
No, something a bit more pressing...
Nyumbu tena?Halafu kuna nyumbu zina mfananisha Lukaku na King Drogba... dah! Aise!!
Binadamu mwenye akili ya kawaida hawezi kumfananisha Lukaku na Drogba kwa idadi tu ya magoli.Nyumbu tena?
Nitakuwa mtu wa kwanza kusherehekea pindi pp akiondoka ot.Hii fisi nashangaa wanaiacha ya nini pale hafai hata kidogo kubaki unavuruga morali ya baadhi ya wachezaji hizi ni sumu.View attachment 859309
Watanzania tuna tatizo moja kubwa la kutotambua tofauti za fikra. Na watu wa fikra km hizi wakipata nafasi za uongozi wanakuwa madikteta hadi kwenye familia.Binadamu mwenye akili ya kawaida hawezi kumfananisha Lukaku na Drogba kwa idadi tu ya magoli.
Uyo atakuwa na akili za nyumbu.
Jamaa hata mm kanichosha sana ukiangalia france mpira wanaocheza wa kupak bus kwetu analalamika kila mara wakat kuna wakina shaw walikuwa na wakat mgumu sana lakin hawakuwah kuongea hovyo sijui ni ngoz yetu ina shidaNitakuwa mtu wa kwanza kusherehekea pindi pp akiondoka ot.
Yeah it's true but personally I think he doesn't deserve to be the main man for the biggest club in the world like Man UnitedYou must accept every human has his strength and weakness ,there are strikers with good first touch but they cant match him in scoring goals(primary job of striker),currently he is 26th in all time premier league goalscorer
Ha ha ha kwa hyo unamuingiza kwenye kundi LA lukaku au?Ulimwengu nae kakosa goli la wazi, yeye na kipa.