msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,700
- 8,826
Lakini mbona zidane first eleven yake ilikua inajulikana pale Madrid,,,,Kikos hupangwa kutokana na Game na Mfumo utakao enda tumika Msipende kulaumu laumu kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ulichoandika hapa naomba kwa heshima na tuendelee kuheshimiana naomba ukiona post zangu zipuuze na mm za kwako ntapuuza.
Hahahahahahahahahahahahahahahaha aiseee HahahahahaKwa ulichoandika hapa naomba kwa heshima na tuendelee kuheshimiana naomba ukiona post zangu zipuuze na mm za kwako ntapuuza.
Kwa ulichoandika hapa naomba kwa heshima na tuendelee kuheshimiana naomba ukiona post zangu zipuuze na mm za kwako ntapuuza.
Daaaa mpira burudani wazee na ili unoge lazima tutofautiane kimtazamo ili kuleta hamsha amsha
Kuna post ukisoma zimekaa kukejeli hata kidogo unachopata too bad yani ni watu wa kudharau kila kitu kuponda tu ina maana hamna mazur unakuta hazijengi mbona humu wengi wanapost post kibao lakin tunajibishana vizur jaribu kusoma post yake tena.Wakuu acheni hayo mambo bwana,hahaha.
Tutofautiane kimtazamo lakini tubaki wamoja ndugu zangu.
Msifike huko,ni mbali sana!
Ndugu watu huwa wanachukia mpira mbovu uliozoeleka na Mou na si kwamba hata timu iki improve watu wanamchukia tu kocha. Ilifikia kipindi humu watu walisema kufungwa siyo ishu ila tatizo timu inafungwaje,inachezaje? Ndo mana Mimi hata tulipofungwa na Tot bado nilisema nimepata matumaini makubwa na timu kutokana na mabadiliko niliyoyaona kiuchezaji. So hata Leo timu imecheza vizuri sanaaa,sijaona kupaki cjui basi au baiskeli. Mwl akiendelea hivi sapoti yangu anayo kubwa tu,ila kamwe sitamsapoti atapocheza lile limpira lake la kuirundika timu yote nyuma.Halafu kuna watu wanakwambia yule kocha apewe united kisa mpira wa pasi leo tumeshinda wanalala mbele tukifungwa mourinho mbaya
Kila siku nawaambia tuishabikie timu bila kujali kocha ni nani tupo kipind cha mpito
Mkuu mi mwenyewe si muumin wa mpira wa kupak basiNdugu watu huwa wanachukia mpira mbovu uliozoeleka na Mou na si kwamba hata timu iki improve watu wanamchukia tu kocha. Ilifikia kipindi humu watu walisema kufungwa siyo ishu ila tatizo timu inafungwaje,inachezaje? Ndo mana Mimi hata tulipofungwa na Tot bado nilisema nimepata matumaini makubwa na timu kutokana na mabadiliko niliyoyaona kiuchezaji. So hata Leo timu imecheza vizuri sanaaa,sijaona kupaki cjui basi au baiskeli. Mwl akiendelea hivi sapoti yangu anayo kubwa tu,ila kamwe sitamsapoti atapocheza lile limpira lake la kuirundika timu yote nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ndugu.Kuna post ukisoma zimekaa kukejeli hata kidogo unachopata too bad yani ni watu wa kudharau kila kitu kuponda tu ina maana hamna mazur unakuta hazijengi mbona humu wengi wanapost post kibao lakin tunajibishana vizur jaribu kusoma post yake tena.
Hatar sana mkuu.Pole ndugu.
Bongo sasahivi kila mtu mchambuzi wa soka na wanaielewa Man U kuliko waingereza wenyewe na wanajua kufundisha mpira kuzidi mourinho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kawaida tu ndugu,kwa nini mfikie huko?Kwa ulichoandika hapa naomba kwa heshima na tuendelee kuheshimiana naomba ukiona post zangu zipuuze na mm za kwako ntapuuza.
Mi nashindwaga kumuelewa mkuu huenda jamaa yupo sahihi so naona niache tu
Kuna post ukisoma zimekaa kukejeli hata kidogo unachopata too bad yani ni watu wa kudharau kila kitu kuponda tu ina maana hamna mazur unakuta hazijengi mbona humu wengi wanapost post kibao lakin tunajibishana vizur jaribu kusoma post yake tena.
Umeongea point mkuu.Tuvumiliane mkuu!
Muda mwingine ni vizuri tu ukasoma,ukiona haijakupendeza unaacha.
David gill angekuwepo tungekuwwa mbalinsana. Huyu bwana alikuwa ana jicho la vipaji. Wlikuwa anamletea fergie wachezaj wakuelewekaMkuu wachezaj wetu ni kujituma tu na baadhi ya mapungufu tuliyonayo huwa yanaonekana mapema tu kwa mfano alipocheza fellain panahitaj mtu wa kazi kocha kaonesha haya tukija ktk mech yenye pressure fellain atachemka kwa kuwa sio sehem yake ndo mana nasema ed woordward ukaid wake sio
Kipind cha huyo jamaa tulipeta sana gill alotoa pesa za usajili nnavyohisi ed kakasirika baada ya mourinho ku block ronaldo kurud united jamaa anapenda sana biashara.David gill angekuwepo tungekuwwa mbalinsana. Huyu bwana alikuwa ana jicho la vipaji. Wlikuwa anamletea fergie wachezaj wakueleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
kuhusu kupenda biashara ndio jambo alilolisomea ndio maana yupo hapo kwa ajili iyo...aliwafaa aseno huyu boya...........wale FA NAO JAU wamemchukua gill ili akafanye nini sasaKipind cha huyo jamaa tulipeta sana gill alotoa pesa za usajili nnavyohisi ed kakasirika baada ya mourinho ku block ronaldo kurud united jamaa anapenda sana biashara.
Hapana kiubinadamu saa nyingine inatokea kwa sababu hakukuwa na sababu ya yule jamaa kumkwatua vile,so ukijaribu kujiuliza kwa nini hupati jibu na ndio temper inapochukua nafasi yake. Mimi simlaumu kabisaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app