MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Liver kwa sasa si wenzenu mmepishana mlangoni. Liver anatoka gerezani nyie mliyemfunga ndo mnaingia kwa arsenal ndo msiseme kabisa maana arsenal haijawahi kuishi maisha magumu mnayoishi kwa sasa.
Business ya timu mojawapo ni kuuza wachezaji na kupata faida au kupata pesa za kuwanunua wachezaji wanaoendana na uhitaji wa wakatu huuAuzwe Pogba? Sidhani Kama Kuna Kocha Mwenye Akili Timamu Anaweza Kumuuza Mchezaji Aina Ya Pogba.
Mchezaji anayejiona ni bora kama Pogba akiuzwa timu inapona, angalia Liverpool walipomuuza Coutinho Liverpool ilipona kabla ya hapo timu ilikuwa na matokeo mabaya
Mashabiki wengi Wa wapi? Hapa hapa duniani au wewe una ulimwengu wako? N way sina chuki na Mou Bali nachukia namna anavyofundisha timu yake na mfumo Wa zamani sana. Kama timu itaendelea kucheza kama juzi basi mi fresh tu. Tatizo kubwa wanalochukia watu ni namna timu inavyochezaHata body bado inamtaka MO, washabiki walio wengi bado wana imani na MO. Ni hapa JF tu ndio wanamuona MO hafai
Soka la mou ni outdated walishamjulia kuwa hawezi kushambulia ni kuzuia tu hivyo timu pinzani mwanzo mwisho hawamshambulii wanaanza kupaki mwanzo mwisho huku wakimnyemelea akikaa ovyo wanampiga bao wanarudi kumzuia. Lazima timu icheze mpira wa burudani.Mashabiki wengi Wa wapi? Hapa hapa duniani au wewe una ulimwengu wako? N way sina chuki na Mou Bali nachukia namna anavyofundisha timu yake na mfumo Wa zamani sana. Kama timu itaendelea kucheza kama juzi basi mi fresh tu. Tatizo kubwa wanalochukia watu ni namna timu inavyocheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Young Boys Hao
- Group A: Atletico Madrid, Dortmund, Monaco, Club Brugge
- Group B: Barcelona, TOTTENHAM, PSV, Inter Milan
- Group C: PSG, Napoli, LIVERPOOL, Red Star Belgrade
- Group D: Lokomotiv Moscow, Porto, Schalke, Galatasararay
- Group E: Bayern Munich, Benfica, Ajax, AEK Athens
- Group F: MAN CITY, Shakhtar, Lyon, Hoffenheim
- Group G: Real Madrid, Roma, CSKA Moscow, Viktoria Plzen
- Group H: Juventus, MAN UTD, Valencia, Young Boys
Akifanya masihala hapo anaweza akajiiunga na wazee wa FUTUHI.Group H
Juventus
Man United
Valencia
Young Boys
Kweli kabisaLukaku ni mzuri sana, tatizo la mashabiki wa Man U mnamfananisha mchezaji na mchezaji. Angalieni upande wa pili wa Lukaku, so powerful, anacheza dakika zote, yuko na shabaha akipewa pasi nzuri. Tatizo pale ni wanaotakiwa kutoa mipira hawafanyi vizuri kazi yao.
Ushauri, Pogba akiuzwa Man U watakuwa wazuri sana kwani kocha na wachezaji wenzake wana expectation kubwa kutoka kwa Pogba ambayo kwa kweli haitimizi kabisa. Masifa na mbwembnwe nyingi akiwa na mpira zinamfanya awe na analoose mipira mara kwa mara
Namna ya kisasa ni ipi?Mashabiki wengi Wa wapi? Hapa hapa duniani au wewe una ulimwengu wako? N way sina chuki na Mou Bali nachukia namna anavyofundisha timu yake na mfumo Wa zamani sana. Kama timu itaendelea kucheza kama juzi basi mi fresh tu. Tatizo kubwa wanalochukia watu ni namna timu inavyocheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Soka la kisasa ni lipi? Maana humu kuna makocha wazuri kuliko Mou dah!Soka la mou ni outdated walishamjulia kuwa hawezi kushambulia ni kuzuia tu hivyo timu pinzani mwanzo mwisho hawamshambulii wanaanza kupaki mwanzo mwisho huku wakimnyemelea akikaa ovyo wanampiga bao wanarudi kumzuia. Lazima timu icheze mpira wa burudani.
Kwisha habari yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kundi gumu sana hiliGroup H
Juventus
Man United
Valencia
Young Boys
Pressing zaidi na kumiliki mpira, yaani njia kuu ya kujilinda ni kushambulia zaidi na kumiliki mpira zaidi siyo kurudisha timu yote ikae nyuma na kukaribisha mashambulizi ya adui muda woteNamna ya kisasa ni ipi?