Woodward yuko sahihi sana na man U ina team nzuri kuliko hata Liverpool au Man city tatizo lililopo in Mourinho kushindwa kutumia silaha alizonazo na kuguzwa incapacity yake kuwa kigezo cha kulalamika hajafanya usajili wa maana.Hayuko sahihi, kwa aksi na mabadiliko yanayotokea kwenye ligi za ulaya hasa Uingereza kwa sasa kila ligi ni mpya na inahitaji kujiimarisha zaidi na kujiimarisha kwenyewe ni kununua wachezaji watakaoendana na ligi ya sasa hivi. Usipofanya hivyo wenzako watakuacha 10-13 au hata kushuka daraja. Mancity mwaka huu wako vizuri kama mwaka jana lakini kwa sababu ya timu zingine kujiimarisha hasa Liverpool utashangaaa Mancity wakishindwa kutetea ubingwa ilihali wana timu nzuri lakini ni ya mwaka jana.
Bodi ilikuwa sahihi,kocha aliambiwa a offload baadhi ya wachezaji anaoona hawafai ndipo apewe hela ya kuongeza ktk itakayopatikana kwa kuuza hao wachezaji yeye amekomaa tu kuwa na rundo kubwaaaa la wachezajiFact mkuu cha msingi bodi itambue majukumu yao vizur unamuongeza kocha mkataba kisha unamnyima pesa ya usajiri
Watu wanajiziba macho na ufahamu kwa kumsikiliza Mou juu ya WoodwardWoodward yuko sahihi sana na man U ina team nzuri kuliko hata Liverpool au Man city tatizo lililopo in Mourinho kushindwa kutumia silaha alizonazo na kuguzwa incapacity yake kuwa kigezo cha kulalamika hajafanya usajili wa maana.
Central defenders anao watano.
Fullbacks wanne
Midfielder kama nane hivi kwenye
Strikers kama watano
Unataka woodward aendelee kutoa hela kununua wachezaji ?
Mourinho always anaquarrel na wachezaji badala ya kuwapandishia morali tu yeye anawasimanga huoni kuwa tatizo ni yeye ?
Watu wanadhani woodward ndiyo anayemfelisha Mourinho lakini ukweli ni kwamba Mourinho ndiyo anayemfelisha woodward.na woodward atamdhalilisha sana Mourinho akiendelea kupokea vipigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezaji gani pale wa kumuuza pesa nyingi ukiacha de gea,martial na pogba jambo ambalo ni gumu kuna vitu muwe mnaangalia ujue kauzwa blind pesa yake kanunuliwa nani?Bodi ilikuwa sahihi,kocha aliambiwa a offload baadhi ya wachezaji anaoona hawafai ndipo apewe hela ya kuongeza ktk itakayopatikana kwa kuuza hao wachezaji yeye amekomaa tu kuwa na rundo kubwaaaa la wachezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Analalamika kuhusu mabeki, wakati huo huo anamtoa Fasou Mensa kwa mkopo.Watu wanajiziba macho na ufahamu kwa kumsikiliza Mou juu ya Woodward
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili tu za kawaida sanchez yule wa aseno siyo kabsa huyu wa sasa.kocha kuna mahali anakosea maana kiwango kimeisha gafa.Hayuko sahihi, kwa aksi na mabadiliko yanayotokea kwenye ligi za ulaya hasa Uingereza kwa sasa kila ligi ni mpya na inahitaji kujiimarisha zaidi na kujiimarisha kwenyewe ni kununua wachezaji watakaoendana na ligi ya sasa hivi. Usipofanya hivyo wenzako watakuacha 10-13 au hata kushuka daraja. Mancity mwaka huu wako vizuri kama mwaka jana lakini kwa sababu ya timu zingine kujiimarisha hasa Liverpool utashangaaa Mancity wakishindwa kutetea ubingwa ilihali wana timu nzuri lakini ni ya mwaka jana.
Hao hao Wa pesa kidogo angeuza kwa thamani zao kisha aendelee kuomba hela,manake mabeki Wa kati sasa wako watano na bado anataka mwingine Wa 6,angalau angetoa hata wawili au mmojaMchezaji gani pale wa kumuuza pesa nyingi ukiacha de gea,martial na pogba jambo ambalo ni gumu kuna vitu muwe mnaangalia ujue kauzwa blind pesa yake kanunuliwa nani?
Jose Mourinho is in all sorts of trouble, but he has the support of Manchester United legend Ryan Giggs...
Kwa wale tusio na imani na Mou tuombe apoteze mechi ijayo na Burnley. Timu yetu itapona.
Jose Mourinho is in all sorts of trouble, but he has the support of Manchester United legend Ryan Giggs...View attachment 850358
Giggs hamaanishi kwamba timu ifungwe na burnley wao wanataka spirit ya timu sio fukuza fukuzaSupport ya Giggs sidhani kama inaweza kumbakisha kama atapoteza tena mechi dhidi ya Burnley mkuu.
4-3-2-1Mechi ya juzi ilinipa matumaini zaidi manake timu ilicheza vema kwa kiasi kikubwa sana japo tukaishia kufungwa. Napendekeza mfumo ule uendelee kutumika timu yetu itatisha,japo centre defenders ni kizungumkuti. Na tatizo lingine kocha tangu achukue ile timu ni kama hana first 11 anayoiamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa kumuacha lukaku mbele tutaumia sana kama nafasi moja hawez kutumia inakuwaje?
Mkuu kwa kumuacha lukaku mbele tutaumia sana kama nafasi moja hawez kutumia inakuwaje?
Tatizo kubwa la Lukaku hana mnyumbuliko na skills za ziada kuwapiku mabeki.Mkuu kwa kumuacha lukaku mbele tutaumia sana kama nafasi moja hawez kutumia inakuwaje?
Fact nilimuona mech na ac milan alifanya poa japo tulizuia sanaPale mbele bora aweke Sanchez.
Mech ya spurs tungekuwa na striker makin mech iliisha kipind cha kwanzaTatizo kubwa la Lukaku hana mnyumbuliko na skills za ziada kuwapiku mabeki.
Tulihitaji striker wenye Kariba ya Cavan, Sadio Mane au Aguero.
Tuna safari ndefu kiasi kufikia mafanikio licha ya kuwa nanwachezaji wazuri sehemu ya kati,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanchez akiwa last man atasaidia zaidi.Fact nilimuona mech na ac milan alifanya poa japo tulizuia sana